Mwita Waitara Mwikabwe Mbaroni kwa mauaji Singida

Eliza,
Mbona alishikiliwa na kuhojiwa kisha akaondoka kituo cha polisi vipi kuna jipya? or this is updates?
 
Aliua vipi wakati alikuwa jukwaani akihutubia? POLISI CCM mnachekesha. Haya ndiyo aliyoyasema Tundu Lissu ya kumbambikiziwa kesi ili kukomoa watu kwasababu KESI ya mauji hana mdhamana.
 
kakamatwa saa ngap? Tupen habari za uhakika wakuu mbona mnatuchanganya?
 
Hao ndio vijana wa Kova hao; mafunzo yao ni ya ki-VodaFasta tu kule Moshi.

Aliua vipi wakati alikuwa jukwaani akihutubia? POLISI CCM mnachekesha. Haya ndiyo aliyoyasema Tundu Lissu ya kumbambikiziwa kesi ili kukomoa watu kwasababu KESI ya mauji hana mdhamana.
 
We ngoja 2015 tutatoa nidhamu kwa hawa wa chama cha mabwepande wanatengeneza kesi za ajabuajabu ngoja tunahasira nao.
 
Vijana waliofunguliwa mashitaka katika kituo hicho ni pamoja na Daniel Sima, Tito Nitwa, Bakili Ayubu, Yohana Makala Mpande, Ernest Kadege, Simion Makacha, Anthony John na Frank Yesaya.
DSC04130.jpg

AFISA SERA NA UTAFITI CHADEMA MBARONI KWA TUHUMA MAUAJI YA MWENYEKITI WA VIJANA CCM MKOANI SINGIDA.
 
Sidhani kama ni kweli!

Ngoja nifike kwenye PC nitaweza kuwasilisha vizuri lakini kwa ufupi ni kuwa alikuwa amemaliza mkutano na waandishi wa habari kutoa maelezo ya kanusho la CHADEMA kuhusika na mauaji ya mwana CCM na pindi alipotoka nje ya ofisi za CHADEMA ndipo alipokamatwa
 
kakamatwa saa ngap? Tupen habari za uhakika wakuu mbona mnatuchanganya?
Alikamatwa jana (Jumapili) saa nne asubuhi. Amefikishwa mahakamani leo lakinis kwa kosa la mauaji. Ameshitakiwa kwa kutoaliugha ya matusi dhidi ya Miwigulu Nchemba. Lakini kuna vijana wengine sita kutoka kijiji cha Nguvumali, ambako vurugu zilitokea, ndio wamefikishwa mahakanai kwenye ksi nyingine tofauti kwa kosa la mauaji ya kiongozi wa UVCCM. Mpaka saa tisa Waitara alikuwa anahangaika kutimiza masharti ya dhamana ambayo iko wazi
 
Kwa hiyo anaweza pata dhamana sio?
 
ulter continous vp rais wa migomo mbona ckuon ungetakiwa ufe bcoz huna msaada wo2te...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom