Mwita Waitara Mwikabwe Mbaroni kwa mauaji Singida

Alikamatwa jana (Jumapili) saa nne asubuhi. Amefikishwa mahakamani leo lakinis kwa kosa la mauaji. Ameshitakiwa kwa kutoaliugha ya matusi dhidi ya Miwigulu Nchemba. Lakini kuna vijana wengine sita kutoka kijiji cha Nguvumali, ambako vurugu zilitokea, ndio wamefikishwa mahakanai kwenye ksi nyingine tofauti kwa kosa la mauaji ya kiongozi wa UVCCM. Mpaka saa tisa Waitara alikuwa anahangaika kutimiza masharti ya dhamana ambayo iko wazi

Kumbe! Basi uko niliposoma wame mislead?
 
Ndio Huyo aliyekua Headbway wa Kwayu(Azabway)!!

Kile kilikuwa kipindi cha wanaharakati kuna mwenzake anaitwa Bob leo sio Boblee naomuona kwenye runinga amekuwa mwanasheria.

Sasa huyo mwita anatuhumiwa kumuua nani? mbona hakuwa the violent type miaka ile ya shule? au ndio kaanzia utemi ukubwani?
 
Hii habari mbona haieleweki kesi aliyofunguliwa inahusiana na nn 2juzeni wakuu
 
Ngoja nifike kwenye PC nitaweza kuwasilisha vizuri lakini kwa ufupi ni kuwa alikuwa amemaliza mkutano na waandishi wa habari kutoa maelezo ya kanusho la CHADEMA kuhusika na mauaji ya mwana CCM na pindi alipotoka nje ya ofisi za CHADEMA ndipo alipokamatwa

Aisee wana kazi hawa policeCCM!
 
Kumbe! Basi uko niliposoma wame mislead?

Ndo maana nilitilia shaka tokea awali nikakutaka kuwa more precise,,kingekuwa kituko kingine cha mwaka Polisi kumfungulia kesi ya Murder cause kwa mazingira ya tukio yalivo,,there's no way ungehusisha watu waliokuwa jukwaani,ila kwa lugha ya matusi,,tuhuma anazokabiliwa nazo sasa inaweza kuwa kweli,,jamaa c mtu wa ku control temper nilimsikia sana jukwaani 2010 alipokuwa anagombea ubunge aliwahi mtusi sana mama moja kwao kule Tarime kwa kikurya
 
Aliua vipi wakati alikuwa jukwaani akihutubia? POLISI CCM mnachekesha. Haya ndiyo aliyoyasema Tundu Lissu ya kumbambikiziwa kesi ili kukomoa watu kwasababu KESI ya mauji hana mdhamana.
Mbona Ditopile alipata mzamana
 
Wametafuta kosa wamekosa wanakimbilia lugha ya matusi,kama ni hivyo lusinde,yeye nchemba ilibidi wafunguliwe mashitaka.
 
Alikamatwa jana (Jumapili) saa nne asubuhi. Amefikishwa mahakamani leo lakinis kwa kosa la mauaji. Ameshitakiwa kwa kutoaliugha ya matusi dhidi ya Miwigulu Nchemba. Lakini kuna vijana wengine sita kutoka kijiji cha Nguvumali, ambako vurugu zilitokea, ndio wamefikishwa mahakanai kwenye ksi nyingine tofauti kwa kosa la mauaji ya kiongozi wa UVCCM. Mpaka saa tisa Waitara alikuwa anahangaika kutimiza masharti ya dhamana ambayo iko wazi
Mh! ameshitakiwa na nani kwa kumtukana Mwigulu au Mwigulu mwenyewe alikuwepo? au ndo kama ya Lema kule Arusha.
 
Acha watupe raha,siku hiz comedy wamefulia tunapata vituko kwenye taarifa za habar
 
Aliua vipi wakati alikuwa jukwaani akihutubia? POLISI CCM mnachekesha. Haya ndiyo aliyoyasema Tundu Lissu ya kumbambikiziwa kesi ili kukomoa watu kwasababu KESI ya mauji hana mdhamana.

Hata ukiamrisha tu kuuwa au kufanya uchochezi na kifo kikitokea basi unahusika na uuaji moja kwa moja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom