Mwita na mtatiro live channel ten

nyangwe

Senior Member
Oct 3, 2010
164
30
Mwita kada wa chadema na mtatiro naibu katibu cuf wapo live channel ten 'BALAGUMU' mada.ushirikiano vyama vya upinzani bungeni. Mwita anasema ni vigumu kushirikiana.1 cuf ni sehemu ya serikali.2 walinadi sera kwa wananchi si kushirikiana. 3 kuna wabunge wa CDM wameshtakiwa nk. Mtatiro si haki CDM kuunda kambi ya upinzani. My take hoja za cuf kutaka ushirikiano hazina mshiko ni hatari kwa CDM
 
worry not Mtatiro anatafuta popularity ili baadae aje CDM, huyu ni mali yetu na tena analalamika kukosa support kutoka kwa wazeee wa CUF kwani kwa sasa wazee wa CUF hawana tena morale ya mabadiliko ya katiba kwa kile wanachodai ni agenda ya siri ya CDM.

Mtatiro analazimishwaga kutoa kauli hata asizozikubali na Prof Lipumba anaona ahueni kwani wazee wamepunguza kumwandama na wameelekeza mashambulizi kwa Mtatiro
 
Back
Top Bottom