Byendangwero
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 871
- 56
Katika siku za hivi karibuni kulitolewa taarifa kwenye jamii forum ya kwamba jima anololitumia katibu wa fedha na mipamgo ccm, siyo la kwake bali alilipoka kutoka kwa mwenye jina hilo kinyemela.Kama hivyo ndivyo kuna kila sababu ya kukumfikisha katibu huyo mahakamani kwa kosa la jinai la "impersonification".