LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 251
Uchukuliwe ushahidi wa maneno yake, afanyiwe kazi.
Ebu niambine kati ya mwigulu, lusinde na nape yupi bora? Make sjajua ccm walitoa wap huu uchafu
#18 Mwigulu Nchemba 2012-08-22 16:05
"Huo ni uonevu kwa chama chetu,lakini kwa kuwa mahakama na vyombo vyote vya dola viko chini ya serikali inayoongozwa na sisi yaani CCM kitaeleweka tu,na pili hata wakisema twende kwenye uchaguzi leo tuko tayari hatuogopi kitu sisi,kwani kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji"
alikua akitoa maoni yake juu ya uamuzi wa mahakama kumfumua kafumu wa igunga
ebu niambine kati ya mwigulu, lusinde na nape yupi bora? Make sjajua ccm walitoa wap huu uchafu
nyie ndio mtakua wanda wazim sababu yeye hulipwa mshara kwa kuongea tu sasa mntaka Alie hiyo ndio moja ya kaziyake akika kimyma mju kua hana AJIRA..Huyo
wooooooooooooooooooooote marehemu wa fikra hao.Ebu niambine kati ya mwigulu, lusinde na nape yupi bora? Make sjajua ccm walitoa wap huu uchafu
Ana first class huyo, shauri lako.