Mwigulu Nchemba karopoka tena

#18 Mwigulu Nchemba 2012-08-22 16:05
"Huo ni uonevu kwa chama chetu,lakini kwa kuwa mahakama na vyombo vyote vya dola viko chini ya serikali inayoongozwa na sisi yaani CCM kitaeleweka tu,na pili hata wakisema twende kwenye uchaguzi leo tuko tayari hatuogopi kitu sisi,kwani kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji"

alikua akitoa maoni yake juu ya uamuzi wa mahakama kumfumua kafumu wa igunga

tungoje tuoni hicho kitakachoeleweka
 
Sheria ni msumeno. Mwigulu aelewe kuwa Kinyozi nae hunyolewa.Kilichowapata Igunga ni sawa na CHADEMA walichokipata Arusha.
 
Unachezea LAAANA inamtafuna anashindwa hata kufikiri eti comment ya mchumi daraja la kwanza ha ha haaaa
 
mke wake ana kazi kweli kweli
He is not fit to be a politician kwa kauli zake anaweza kusababisha machafuko
arudi benki alikotoka kunamfaa zaidi.
kwani mahakama iko chini ya CCM au ni mhimili unaojitegemea?
kwa hivo tuseme mahakimu na majaji ni wana CCM?
he is more than gold digger kwa kweli
 
Ndoo maana wanaelewana sana na kibajaj lusinde. Kama mahakama ni ya ccm c hatari hii? Kiongozi kweli huyu hata civics ya form 1 hajui na bunge ni la ccm pia for this case!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hivi kwani huwa ni lazima aongee kwenye kila linalojiri?!!. From what I have seen, he is better off being "Dumb"
 
Kuna binadamu wenzetu hapa duniani huwa wanaamini kuwa Waafrica hawana akili kama wao (Ref Scientist Watson). Mimi huwa ninaukataa kabisa huu msimamo, ninaukataa kwa vitendo kwa maana ya jinsi ninavyoongea, ninavyofanya kazi.

Hata hivyo kuna waafrica wenzetu wengi ambao wanayoongea na wanayotenda yanawa'prove' correct wale wanaotudharau. Maneno kama ya huyu Mheshimiwa ni mojawapo, Niliwahi kuulizwa swali moja "Inawezekana vipi Rais wenu aliyeko madarakani akajiuzia mgodi na nyinyi mkakubali'' ?!!
 
Hayo maoni hayafanani kabisa na ya mtu anayejigamba kuwa yy ni mchumi, aliyepata first class. Kweli elimu inaweza isikusaidie katika maisha!
 
Ni dhambi kumchukia mtu but from my heart smpendi huyu mwigulu simpendi tu kwakweli
 
#18 Mwigulu Nchemba 2012-08-22 16:05
"Huo ni uonevu kwa chama chetu,lakini kwa kuwa mahakama na vyombo vyote vya dola viko chini ya serikali inayoongozwa na sisi yaani CCM kitaeleweka tu,na pili hata wakisema twende kwenye uchaguzi leo tuko tayari hatuogopi kitu sisi,kwani kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji"

alikua akitoa maoni yake juu ya uamuzi wa mahakama kumfumua kafumu wa igunga
source please!
 
yaani bwana mwigulu simuonei huruma yeye ila watoto wake,sababu kama baba ndo anaropoka hivi wtoto si watakuwa wanatapika,na kama huyu naye kichwa cha familia basi sina haja ya kuogopa kuwa na familia
 
Huyo kachoka kifikra angalia hoja zote, na fuatilia kilichotokea rufaa ya nini, na sio vema kwa kiongozi kusema sema ovyo....rage na magufuli ndio wa kukemea....!!
jifunze kuwaheshimuni wasomi wa nchi hii wakuu, huyu bwana amesoma Mazengo, Ilboru then UDSM - Bcom na MBA tena 1st Class

 
Mwigulu ni MCHUMI wa daraja la kwanza anayetaka ku-SOLVE tatizo la Uchumi la nchi yetu kwa KUOMBEA.

Msigwa anamwambia, yeye kama Mchungaji, anaombea WAZINZI na wanaochukua WAKE ZA WATU.

Sishangai kufurahia kwake kwa nguvu sana kutaka kurudi IGUNGA kwenye uchaguzi mwingine maana ukiacha fedha za uchaguzi, basi VIMWANA wa Kinyamwezi na hasa mke wa Kada wa Chama hapo Igunga, watakuwa Jirani zake kwa siku kadhaa na hapo kujiLAMBIA tu Asali ya Kinyamwezi.

 
Last edited by a moderator:
Huyu anafuata nyayo za Pinda, hata katika kuchemsha hayuko original.

nyie ndio mtakua wanda wazim sababu yeye hulipwa mshara kwa kuongea tu sasa mntaka Alie hiyo ndio moja ya kaziyake akika kimyma mju kua hana AJIRA..Huyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom