Mwigulu Nchemba ataka msajili wa vyama kusitisha Operesheni Sangara za CHADEMA

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Katika kile kinachoonekana kutafuta mahali pa kujishika, Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba amemtaka msajili wa Vyama vya siasa nchini John Tendwa kusitisha mara moja operesheni Sangara za chama hicho kwa kile anachodai zinatishia amani ya nchi.

Mwigulu alisema baada ya mazishi ya kada wa chama chake hapo jana yaliyotokea huko Ndago atahakikisha anapambana kwa nguvu zote na CHADEMA ili kukomesha tabia yao.

Source:Habari Leo

My Take:
Wachunguzi wa mambo wanadai kuweweseka huku kwa Mwigulu ni kutokana na kutuhumiwa kama mhusika mkuu wa mauaji yaliyotokea kwa kile wanachodai alikodi vikundi vya vijana na kuwapa hela ili wakavuruge mkutano wa CHADEMA na ndipo wananchi walipozidi nguvu kikundi hicho cha wahuni na kuwatimulia mbali.

Hata hivyo mpaka sasa bado jeshi la polisi halijafanya mahojiano yoyote na Mwigulu ili kuchunguza madai hayo. Mwigulu amekuwa mara nyingi akitoa maneno ya hovyo na matusi dhidi ya CHADEMA hasa awapo bungeni na kwenye mikutano ya hadhara.

Tayari jimbo lake la Iramba Magharibi CHADEMA ina nguvu kubwa na kuna uwezekano mkubwa Mwigulu asirudi tena bungeni baada ya uchaguzi ujao.
 
Mliisi pia chadema ni chama cha msimu eeh?? Mtumieni ata msajili ila hatubadiliki na kura zetu tutazilinda kwa sababu moja tu, tunaichukia ccm na mafisadi wake ile mbaya, mkakati ni kuakikisha laana ya kutawaliwa ata na mwenyekiti wa kijiji toka ccm tunaikataa
mlijidanganya ati mtatawala milele?
 
Naona Mwigulu ameamua kuchukua madakara ya kuongoza nchi! Kama ana ushahidi wa hayo anayosema aende mahakamani. Kijana mdogo kama Mwigulu amepata wapi ujasiri wa kufanya siasa za kijanjweed? Tayari mikono yake imejaa damu ya watanzania wasio na hatia.
 
  • Thanks
Reactions: GIB
Katika kile kinachoonekana kutafuta mahali pa kujishika,Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba amemtaka msajili wa Vyama vya siasa nchini John Tendwa kusitisha mara moja operesheni Sangara za chama hicho kwa kile anachodai zinatishia amani ya nchi.
Mwigulu alisema baada ya mazishi ya kada wa chama chake hapo jana yaliyotokea huko Ndago atahakikisha anapambana kwa nguvu zote na CDM ili kukomesha tabia yao.

Source:Habari Leo

My Take:
Wachunguzi wa mambo wanadai kuweweseka huku kwa Mwigulu ni kutokana na kutuhumiwa kama mhusika mkuu wa mauaji yaliyotokea kwa kile wanachodai alikodi vikundi vya vijana na kuwapa hela ili wakavuruge mkutano wa CDM na ndipo wananchi walipozidi nguvu kikundi hicho cha wahuni na kuwatimulia mbali.Hata hivyo mpaka sasa bado jeshi la polisi halifanya mahojiano yoyote na Mwigulu ili kuchunguza madai hayo.Mwigulu amekuwa mara nyingi akitoa maneno ya hovyo na matusi dhidi ya CDM hasa awapo bungeni na kwenye mikutano ya hadhara.Tayari jimbo lake la Iramba Magharibi CDM ina nguvu kubwa na kuna uwezekano mkubwa Mwigulu asirudi tena bungeni baada ya uchaguzi ujao.

Uzushi mtupu, acha kuendeleza ugomvi wewe!
 
First Class Economist wa Tanzania na ndio mtunza hazina wa CCM, hapo kutakuwa na mikakati ya kukuza uwezo wa chama kujitegemea kweli? JK kazi anayooooooo

Katika kile kinachoonekana kutafuta mahali pa kujishika,Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba amemtaka msajili wa Vyama vya siasa nchini John Tendwa kusitisha mara moja operesheni Sangara za chama hicho kwa kile anachodai zinatishia amani ya nchi.
Mwigulu alisema baada ya mazishi ya kada wa chama chake hapo jana yaliyotokea huko Ndago atahakikisha anapambana kwa nguvu zote na CDM ili kukomesha tabia yao.

Source:Habari Leo

My Take:
Wachunguzi wa mambo wanadai kuweweseka huku kwa Mwigulu ni kutokana na kutuhumiwa kama mhusika mkuu wa mauaji yaliyotokea kwa kile wanachodai alikodi vikundi vya vijana na kuwapa hela ili wakavuruge mkutano wa CDM na ndipo wananchi walipozidi nguvu kikundi hicho cha wahuni na kuwatimulia mbali.Hata hivyo mpaka sasa bado jeshi la polisi halifanya mahojiano yoyote na Mwigulu ili kuchunguza madai hayo.Mwigulu amekuwa mara nyingi akitoa maneno ya hovyo na matusi dhidi ya CDM hasa awapo bungeni na kwenye mikutano ya hadhara.Tayari jimbo lake la Iramba Magharibi CDM ina nguvu kubwa na kuna uwezekano mkubwa Mwigulu asirudi tena bungeni baada ya uchaguzi ujao.
 
Dkt Mkumbo kamshika pabaya achukue tu posho za mwsho mwsho tunakuja kummaliza na operesheni sangara
 
  • Thanks
Reactions: GIB
Mwigulu Nchemba ni mtoto mdogo,
Katika masuala ya siasa,
Yeye anadhani anajijenga,
kumbe ni buffer ya wazee wa CC.

Kule NEC wanamvisha kilemba cha ukoka,
CC wanatoa baraka,
yeye anadhani yupo kileleni,
saa ikifika atajua maana ya kilemba.

CC ya CCM siku zote,
Ni lazima iteue,
Kondoo wa kafara,
This time kondoo,
ni Mwigulu Nchemba.

Si muda mrefu,
Watanawa mikono wote,
na kumwacha ajibu mwenyewe,
Ikibidi afe kisiasa,
na kuinusuru CCM.

Yeye hatakuwa wa kwanza,
wala hatakuwa wa mwisho.

Kila dhambi ina kafara yake.
 
Katika kile kinachoonekana kutafuta mahali pa kujishika,Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba amemtaka msajili wa Vyama vya siasa nchini John Tendwa kusitisha mara moja operesheni Sangara za chama hicho kwa kile anachodai zinatishia amani ya nchi.
Mwigulu alisema baada ya mazishi ya kada wa chama chake hapo jana yaliyotokea huko Ndago atahakikisha anapambana kwa nguvu zote na CDM ili kukomesha tabia yao.

Source:Habari Leo....

Mwigulu anaweweseka. Unacheza na DAMU ya Mtu. Tena Mtu ambaye Yuko Jimboni Kwako. Ile ya Igunga na Arumeru haiwezi Kumtesa. Hii ya Jimboni kwake Itamtesa kwa Sababu Kila atakapokuwa anakwenda atakuwa anawakumbusha watu MACHUNGU

Mwigulu Badilisha Strategis Hizi za MAUAJI Hazifai
 
This is the FEAR of the UNKNOWN...! They tremble in their heart and burn inside. We will let u say wat u all feel yet the power of majority will take us to the promised victory. We love our country, we want show our love to the rest. Democracy is another ambiguous word that can kill without notice....

FEAR OF THE UNKNOWN!
 
Mwigulu, " who judges others condems himself" and You cannot shoe a running horse. So pls, pls be patience.
 
Back
Top Bottom