Mwigulu Nchemba ataka msajili wa vyama kusitisha Operesheni Sangara za CHADEMA

Wakati wa Kampeni walisema upinzani ni vyama vya msimu, sasa vikirudi kutoa elimu kwa Umma wanaona shida. Namsahuri mwingulu asome riwaya ya Kusadikika kama hakuisoma itamfundisha anagalau mawili matatu.
 
Kwa ssa tanganyika nikama nyumba ya kambale wote wana ndevu ajulikani nani mtoto nani mkubwa.mwigulu yeye ni nani katika tifa ili mpaka atoe maagizo kwa tendwa? tanganyika niyetu sote hakuna mwenye hati miliki.kama kaondoka Gaddaf sembuse Nchemba
 
Bora amejiweka wazi kuwa ndie alieshiriki kufanya fujo kwenye mkutano wa cdm na kusababisha kifo cha kijana wa watu kwa sababu alikuwa anahakikisha anapambana na cdm kwa nguvu zote.lakini akashindwa kuelewa kuwa unapopambana na kitu chochote kwa nguvu zote usitegemee kupata faida tu unayoitegemea lazima na hasara utaipata.sasa amepambana na cdm kwa nguvu zote amesababisha hasara ya kupoteza mtu wa watu kwa hili mwigulu hawezi kuliepuka na anatakiwa amuezi kijana wake km shujaa alie kufa kwenye harakati ya kupigania ujinga wake mwigulu.
 
Nionacho sasa ni kuwa CCM iko mahututi... kila kitu kinachofanya hata cha kijinga kinapata support ya dola, bunge na mahakama...Mwigulu anamwamrisha msajili kuifuta CDM, na mtashangaa kusikia kesho kuwa msajili amewaonya CDM kwa hawafanyi kitu bila kupokea maagizo toka kwa wadudu hawa. Fikiria kwa mfano accusation za kutumiwa sms za vitisho vya mauaji, hazina mantiki yoyote. Chuki za kidini na kikanda wanazojaribu (CCM) kuwazushia wapinzani, hata upikwaji wake tu una walakini. Sasa Kova anafanya kazi nje ya pazia la profession yake. Ni aibu kwa chama tawala na message kwetu wananchi kuwa wazee wazima mambo yameharibikia na wanajaribu kutengeneza mazingira ya kukubaliwa na wananchi kumbe ndiyo wanaharibikiwa vibaya...RIP CCM, tulikupenda kwa miaka 50 na sasa tunakuomba upumzike kwa amani!
 
Kwani hujajua mashaka yote aliyonayo mchemba ni Dr Mkumbo? Yuko tayari kuwaua ndugu zake hao ili Mkumbo asigombee huko. Nadhani amekosea. Huu ni wakati wa Dr Kitila kuwa mbunge wa jimbo hilo.
 
Tumshauri aende mahakamni maana sikuhizi ndiko kwenye kimbilio la vilaza wote wa Nyinyiem...wakasimamishe operation sangara kupitia mahakama baada muda awape ujaji wanamsaidia kuendesha nchi!period!la sivyo hana jipya atulizane
 
Kuna mwanaJF mmoja aliwahi kuchangia kwenye thread moja humu (siikumbuki title wala ID ya mchangiaji) akionya kuhusu wanasiasa kutumia mbinu yoyote at their disposal kufanya siasa. To be specific, alikuwa analaani propaganda za uongo zilizokuwa zimeshamiri wakati huo toka kwa Nape, Mwigulu, Wassira na wengine wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki, kuwa mwisho wa siku zinazifanya watu wenye uelewa wa kati na mdogo wa kuchambua mambo kuishia kujenga chuki za kisiasa. Hiki ndicho kitu anachofanya Mwigulu kwa sasa. Atafanya kila awezalo kuwafanya wapiga kura wake wakichukie CHADEMA kwa hofu ya kuukosa Ubunge 2015.

Kuna taarifa za chini (siwezi kuzithibitisha) kuwa Mwigulu alipanga kifo kile kwa madhumuni hayo niliyoyataja hapo juu. Wengine wanasema marehemu (ambaye baba yake ni mwanaCHADEMA) alikuwa mbioni kuifata itikadi ya baba yake, na chance hiyo ya juzi ndo Mwigulu akaona ndio muda muafaka wa kuua ndege wawili kwa jiwe moja: kummaliza mtu ambaye angeweza kuja kuwa mwiba kwake kisiasa, na kuijengea CHADEMA chuki machoni mwa wana Iramba.

Kama hayo ni kweli, damu ya huyu kijana itamwandama sana Mwigulu, na dalili zimeshaanza kuonekana.
 
Jina lake halikauki humu!! anawakosesha usingizi kabisa hawa jamaa waliozowea matusi na fujo. Kweli dawa ya moto.................. Bravo Nchemba!!
 
Jina lake halikauki humu!! anawakosesha usingizi kabisa hawa jamaa waliozowea matusi na fujo. Kweli dawa ya moto. Bravo Nchemba!!

Kama CDM ni Kiboko ya CCM, na CCM ni Kiboko ya Mwigulu automatically Mwigulu siyo Kiboko ya CHADEMA.

We can Prove this Mathematically as follows
If CDM > CCM
and CCM > MWIGULU

It follow that: CDM > MWIGULU.

Kwa hiyo kwa sisi tuliowai fanya Research tunasema Hypothesis yako ni 'Null Hypothess'.
Tunakushauri ufanye testing ya Reliability and Validity on your Data Collection Procedures and Analysis.

TUMBIRI (PhD, University of HULL - United Kingdom),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Jina lake halikauki humu!! anawakosesha usingizi kabisa hawa jamaa waliozowea matusi na fujo. Kweli dawa ya moto.................. Bravo Nchemba!!

Mkuu kofii ni kweri, nchemba kawapigisha kwata la nguvu!! dawa yao imepatikana sasa. Mbowe hanatumia vitisho, mnyika ameumbuka, Tundu Lissu ameomba miongozo chungu tele isio na mashiko. Kwa kifupi sana Mwiguru amebadiri hali ya mchezo kabisa. Kama kule Iramba hakuna mtu anataka kuwasikia wauwaji hawa. Mwanzoni watu waliona wawasikilize ila baada ya mauwaji sidhani kama watathubutu kurudi tena. wananchi wamechukizwa sana sana
 
Jina lake halikauki humu!! anawakosesha usingizi kabisa hawa jamaa waliozowea matusi na fujo. Kweli dawa ya moto.................. Bravo Nchemba!!

Wewe msifie tu, naona umesahau ile sifa yake,watu kama nyie huwa hawakawizi.Mda si mrefu utaleta humu ushuhuda.
 
Back
Top Bottom