Mwigulu: Jeshi limeapa na kuahidi mbele ya chama (CCM) kukilinda mpaka kufa!

Huyo dogo kusifiwa na JK pale dom kavimba bichwa we mwache watz tuna hasira na life ajue
 
Kauli za huyu mtu zinatilia shaka sana namna ambavyo dola na hasa usalama wa Taifa unavyofanya kazi. Anatoa kauli tata sana, cha kushangaza amekuwa akiachwa na kutesa mitaani. Ni huyu aliyesema kuwa anamkanda unaoonyesha Viongozi wa CHADEMA wakipanga mahuaji akaachwa, akakamatwa Lwakatare nk. Mungu awezi mficha mnafiki!! hakuna wakati wowote ambapo nguvu ya umma imewai kushindwa. Tusikate tamaa, Mungu yu nasi.
 
Back
Top Bottom