Mwigulu: Jeshi limeapa na kuahidi mbele ya chama (CCM) kukilinda mpaka kufa!

There aretwo ways to slide easily through life; to believe everything OR to doubteverything; Both ways save us from thinking- Alfred korzybski
 
Hii kauli ya "jeshi kuapa kulinda CCM mpaka kufa" ilitolewa nani au akina nani ndani ya JWTZ!?
 
Mwigulu utueleze,ccm iko juu ya jeshi na ndiyo maana wameapa kuwalinda na ni kwa faida gani? Ni afisa gani aliyesema hayo,katika maada gani na kwa nini kauli hiyo itolewe sasa? Bila shaka it is bogus propaganda to interfere public opinions who are supporting the opposition.
 
Hata lile la Mubarak pia, Wananchi wakichoka wakisema LIWALO NA LIWE basi jeshi kamwe haliwezi kuzuia nguvu ya UMMA.

Jeshi la Tunisia lilikataa kuwamiminia risasi raia wa Tunisia
In Tunisia, the turning point came when General Rachid Ammar, Chief of Staff of the Tunisian armed forces, refused a presidential order to fire on the crowds; within days the military had turned entirely against the Ben Ali government.

Source
 
Haha...kweli Lema kaanza wafanyia diagnosis, kawaonyesha kuwa CDM wanaweza kucheza hata game lake.Wao walimtumia shimbo amabye ana kila kitu cha kuongea uchafu.....Lema katumia askari asiye na ch kupoteza zaidi ya ku gain kitu shimbo hatokaa akipate.

Fahari ya kukomboa wengine kwa kujitoa kama sadaka. Mimi nipo tayari changia chochote kwa mwanajeshi anayeamua kua huru kupigania uhuru kamili, najau very soon CCM wataenda koroga na kuunguza mboga,wanajeshi wengi tuu wanaweza kuwa nasi uraiani,

Wengi kw akumsangilia mwenzao kwa kufungua dimba na kujikuta povu la CCM likiwa rukiwa kabla CCM hawajaja jikuta kuwa waakumbatia porcupine. Mwigulu si alijfany aana shule kuliko lema na wana CDM, sasa tuone watakavyotoka puvu. Bravo CDM.
 
ccm,ccm mchezo wenu wa kitoto ni mauti kwetu sote,mmesha anza kuwaingiza bila kificho wanajeshi ndani ya ccm, tena mnawaingiza viongozi wakubwa kijeshi,je na chadema ikiingiza wajeshi wasio na vyeo itakuaje?naona mmeishiwa na hekima
 
Hivi Nchemba anajua kuwa anawahadaa wanajeshi? Mbona kauli kama hizi ni finyu sana? Hiyo sio kazi ya jeshi labda atuambie kuwa jeshi letu limeamua kuwa la kipuuzi kiasi hicho. Kauli kama hizi zitaligharimu taifa wallah
 
Jeshi sio la ccm.2015 itajulikana watatuua weng mpaka kieleweke hatuwez ongozwa na kikund cha wachawi na wenye vibuli
 
Haha...kweli Lema kaanza wafanyia diagnosis, kawaonyesha kuwa CDM wanaweza kucheza hata game lake.Wao walimtumia shimbo amabye ana kila kitu cha kuongea uchafu.....Lema katumia askari asiye na ch kupoteza zaidi ya ku gain kitu shimbo hatokaa akipate.Fahari ya kukomboa wengine kwa kujitoa kama sadaka. Mimi nipo tayari changia chochote kwa mwanajeshi anayeamua kua huru kupigania uhuru kamili,najau very soon CCM wataenda koroga na kuunguza mboga,wanajeshi wengi tuu wanaweza kuwa nasi uraiani, wengi kw akumsangilia mwenzao kwa kufungua dimba na kujikuta povu la CCM likiwa rukiwa kabla CCM hawajaja jikuta kuwa waakumbatia porcupine. Mwigulu si alijfany aana shule kuliko lema na wana CDM, sasa tuone watakavyotoka puvu. Bravo CDM.

Wajaribu kumfukuza tu tutamuajiri makao makuu kwenye kurugenzi ya ulinzi, usalama na intelijensia ya chama!
 
Mbona Jeshi halikutoa kauli yoyote kukana, kupinga, au kuonya juu ya kauli hii ya CCM lakini imekuwa nongwa kwa Lema kupiga picha na koplo? Mambo kama haya ya double-standardization ndio yanatia hasira.
 
Lema kama vile kapiga dawa ya Mbu ndani halafu anasikia watu wakikohoa chini ya Uvungu.halafu mwizi anatoka na kusema kuwa yeye si mwizi ila hajibu alikuwa kaifanya nini chini ya uvungu wa kitanda ktk nyumba ya mtu.
 
Hii kauli ya "jeshi kuapa kulinda CCM mpaka kufa" ilitolewa nani au akina nani ndani ya JWTZ!?

Mwigulu ndo umuulize, na Jeshi halikuwahi kutoa tamko kukanusha taarifa hii ya kiongozi mwandamini wa CCM aliyoiweka wazi mbele ya umma kupitia vyombo vya habari! Ipi inatisha Askari kupiga picha na Lema au kiongozi mwandamizi kutoa kauli kuwa jeshi limeapa na kuahidi mbele ya CCM kwamba watailinda hadi kufa!
 
Mbona Jeshi halikutoa kauli yoyote kukana, kupinga, au kuonya juu ya kauli hii ya CCM lakini imekuwa nongwa kwa Lema kupiga picha na koplo? Mambo kama haya ya double-standardization ndio yanatia hasira.
walikuwa wakisubiri nishani , na jibu la kutangazia umma according to ikulu.
 
Kauli hiyo ni hatari na kwa bahati nzuri imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM, inawezekana ndio hali halisi na maelekezo maalumu kwa Jeshi. Je Watanzania kweli tuna Demokrasia ya kweli hapa ?. "Hata waseme kwa na kutisha kwa upanga wenye ncha kali, hakuna wa kuweza kuzuia nguvu na mamlaka ya Umma inapotamalaki"
 
elekezeni nguvu kwa kuwatumikia wananchi,kuliko KUSHINDANA kutoa propaganda,mwisho namtuambie propaganda ya nani iko top 10 kati ya nape,mgulu,kinana,wasira na makamba
 
Tunaomba magazeti wairudie hii habari na Mwingulu kuhusu jeshi kuapa kuilinda ccm alafu wailinganishe na hii ya mjesh kupiga picha na Lema Tuone ipi inhatarisha amani zaidi. Ili tusikie jamko la JWTZ tena kwa kuzingatia matukio hayo mawili.
 
Back
Top Bottom