King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 53,687
- 73,676
Siasa za wakati huu kwa kweli mtu unatakiwa uwe fit sana...maana hapo angekuwepo mtu kama captain Komba asingetoka.
Haaaaaaa Je Gama angetoka hapo?
Siasa za wakati huu kwa kweli mtu unatakiwa uwe fit sana...maana hapo angekuwepo mtu kama captain Komba asingetoka.
huyu jamaa Mwigulu atawasumbua sana sana CDM. Anawanyima usingizi hadi dakika hii. Huyu ni bingwa wa kampeni TZ nzima. Kwa hilo tu, CDM wategemee maumivu makali ajabu..... ni hayo tu
Na siku nyingine chadema waende kabla hawaja wataarifu TAKUKURu wala Polisi wakisha wakeka kati ndipo wawajulishe TAKUKURU maana kuitofautisha Takukuru na CCM napata shida sana.....
Usishangae huyo ni Mwanaccm.Tanzania tuna safari ndefu yaani una shabikia kuona democrasia ina bakwa mchana kweupe halafu unaleta ushabiki wa kijanga hapa....tumia akili na siyo makamasi
Watu wanaoshindwa utaanza kuwajua kisaikolojia tu. Yaani utaona wamejawa na vitisho huku watu wenyewe hawana ubavu wa aina yoyote ile. Hivi wewe unadhani hiyo Meru iko Afhganistan? Si Tanzania hii hii?? subiri uone. Huyo mtu hata mtoe vitisho ni balaaa,, atawagalagaza tu. Mtu mmoja CDM inapeleka wabunge wote.. Angalizo: asije akakurafi wewe sasa,, kaa mkao wa kulathis time tutamrafi huku asidhani ni igunga hapa, mwambieni tunakiu nae sana.. Raha utamu. This is meru land
Mwigulu atawapeleka puta uchaguzi huu......mwishowe ni CDM kuangukia pua kama ilivyo kawaida kwenye chaguzi kama hizi.
Si unaona walivyokaa kishari shari tu,, hawana sera za kuweza kushinda zaidi ya vitisho na matusi na hii ndiyo itakiangamiza CDM. Watu wenye heshima zao wataona kimekaa kihuni zaidi. Jirekebisheni,, toeni sera siyo matusi mnawadhalilisha viongozi wenu ebooo!atampeleka puta mkeo muulize atakuba habari zake!!hovyoo!!!!
Ha ha ha ha ha ha !! vitu gani hivyo mkuuu???? duu,sina mbavuI hope hicho kiatu kitakuwa cha Nchemba maana ana tabia ya kukimbia na kuacha vitu kwa nyuma.
Na siku nyingine chadema waende kabla hawaja wataarifu TAKUKURu wala Polisi wakisha wakeka kati ndipo wawajulishe TAKUKURU maana kuitofautisha Takukuru na CCM napata shida sana.....
yaani nyie kwa akili zenu kiongozi wa CCM akiwa na wana CCM wenzake wakifanya kikao kuna mtu yeyote anaweza kuwazuia?? cheap politics
yaani nyie kwa akili zenu kiongozi wa CCM akiwa na wana CCM wenzake wakifanya kikao kuna mtu yeyote anaweza kuwazuia?? cheap politics
Watu wanaoshindwa utaanza kuwajua kisaikolojia tu. Yaani utaona wamejawa na vitisho huku watu wenyewe hawana ubavu wa aina yoyote ile. Hivi wewe unadhani hiyo Meru iko Afhganistan? Si Tanzania hii hii?? subiri uone. Huyo mtu hata mtoe vitisho ni balaaa,, atawagalagaza tu. Mtu mmoja CDM inapeleka wabunge wote.. Angalizo: asije akakurafi wewe sasa,, kaa mkao wa kula