Mwigulu chupuchupu kukamatwa na Takukuru

Hali ni ngumu kwa CCM maana Mwigulu alifikiri Wameru ni kama wasukuma wa Igunga ya kuwa ukiwapa chakula wao wanakupa kura, huku Meru watu hawana jana sijui watatumia njia gani safari hii kushinda hilo jimbo.
 
huyu jamaa Mwigulu atawasumbua sana sana CDM. Anawanyima usingizi hadi dakika hii. Huyu ni bingwa wa kampeni TZ nzima. Kwa hilo tu, CDM wategemee maumivu makali ajabu..... ni hayo tu

this time tutamrafi huku asidhani ni igunga hapa, mwambieni tunakiu nae sana.. Raha utamu. This is meru land
 
Waachane na kutumia Takukuru,itumike Tarimo style ile ya Igunga,kamata,vua mtandio,tembeza makofi,swaga kwenda mbele(bila kujali cheo) hapo heshima mbele.Kwani baada ya tukio lile DC Igunga alijishughulisha tena na wizi na rushwa ya uchaguzi?Bakwata walipo mtetea wakagundua kuwa Tarimo ndio supplier mkuu kitimoto Tabata wakakaa kimya.Msaada toka dola khs rushwa ya CCM ni sawa na hakuna,ni wajibu wa wananchi wenyewe kuchukua hatua stahiki
 
Na siku nyingine chadema waende kabla hawaja wataarifu TAKUKURu wala Polisi wakisha wakeka kati ndipo wawajulishe TAKUKURU maana kuitofautisha Takukuru na CCM napata shida sana.....

wakienda kichwa kichwa si inakuwa kama ile ya Igunga! Walipomnyaka mkuu wa wilaya ikawa ndo chanzo cha CCM kutoa matamko kupitia Bakwata na Kwingine km njia ya kutafuta ushindi!.Haya mambo ni magumu kidogo.
 
yaani nyie kwa akili zenu kiongozi wa CCM akiwa na wana CCM wenzake wakifanya kikao kuna mtu yeyote anaweza kuwazuia?? cheap politics
 
this time tutamrafi huku asidhani ni igunga hapa, mwambieni tunakiu nae sana.. Raha utamu. This is meru land
Watu wanaoshindwa utaanza kuwajua kisaikolojia tu. Yaani utaona wamejawa na vitisho huku watu wenyewe hawana ubavu wa aina yoyote ile. Hivi wewe unadhani hiyo Meru iko Afhganistan? Si Tanzania hii hii?? subiri uone. Huyo mtu hata mtoe vitisho ni balaaa,, atawagalagaza tu. Mtu mmoja CDM inapeleka wabunge wote.. Angalizo: asije akakurafi wewe sasa,, kaa mkao wa kula
 
atampeleka puta mkeo muulize atakuba habari zake!!hovyoo!!!!
Si unaona walivyokaa kishari shari tu,, hawana sera za kuweza kushinda zaidi ya vitisho na matusi na hii ndiyo itakiangamiza CDM. Watu wenye heshima zao wataona kimekaa kihuni zaidi. Jirekebisheni,, toeni sera siyo matusi mnawadhalilisha viongozi wenu ebooo!
 
vitunzeni viatu hivyo na mimi kama mtaalamu wa forensic wiki ijayo jumamosi natua bongo na nitakuja huko arumeru...tutawakamata tu....
 
Na siku nyingine chadema waende kabla hawaja wataarifu TAKUKURu wala Polisi wakisha wakeka kati ndipo wawajulishe TAKUKURU maana kuitofautisha Takukuru na CCM napata shida sana.....

Upo sahii sana,da same to me stil nashndwa kuweka tofaut kat ya ho takukuru na magamba
 
Kama rushwa ina mwagwa wazi wazi mimi nafikiri tutangaze kuchukua majukumu kama tufanyavyo kwa vibaka! Akikutwa mtoa rushwa tumpige kama kibaka ikiwezekana achomwe moto ili hao TAKUKURU wajue wasipo dhibiti rushwa kwa haki matokeo yake ni kuwazika watoa rushwa
 
yaani nyie kwa akili zenu kiongozi wa CCM akiwa na wana CCM wenzake wakifanya kikao kuna mtu yeyote anaweza kuwazuia?? cheap politics

Viongozi wa ccm ndani ya ofisi za serikali! Loh kweli wewe umechoka kama hiyo ndio 'expensive' politics, mbinu hizo za ccm zinajulikana na kama ilikuwa haki kwao kwanini walikimbia? Wewe hovyo kabisa - ni wehu kushabikia ccm na strategy zake.
 
Watu wanaoshindwa utaanza kuwajua kisaikolojia tu. Yaani utaona wamejawa na vitisho huku watu wenyewe hawana ubavu wa aina yoyote ile. Hivi wewe unadhani hiyo Meru iko Afhganistan? Si Tanzania hii hii?? subiri uone. Huyo mtu hata mtoe vitisho ni balaaa,, atawagalagaza tu. Mtu mmoja CDM inapeleka wabunge wote.. Angalizo: asije akakurafi wewe sasa,, kaa mkao wa kula

Subiri uone magamba wakipeleka si wabunge tu bali mawaziri, marais wastaafu na hata rais, kwa lugha rahisi 'serikali nzima na wastaafu'
 
Back
Top Bottom