Mwigulu chupuchupu kukamatwa na Takukuru

Soma (Haaa ww kumbe hujui kusoma, njoo tukufundishe elimu ya watu wazima) updates (ziko wapi ?) au (huna uhakika kumbe?) ndio uimla (ndio nini hiki?) wa mtindio (mtindio? hebu rudia) wa ubongo (kumbe huna ubungo wa kufikiri tunashukuru kwa kutujulisha hebu. Na km huna ubongo basi huoi ni umajununu fununu


Ubwabwa wa bure wa CCM ndiyo manufaa ya elimu duni. Samahani nimegundua umehudhuria shule za kata bila kusoma.
 
Nape unatakiwa ujifunze kutoka Mwigulu, jinsi ya kujibu hoja humu JF sio kuwa unalalamika mpaka unaikana ID yako mwenyewe! Huyu Mwigulu namkubali akisikia uzushi kupitia jina lake anajitokeza kwa kasi ya ajabu na kujibu kwa lugha murua...CCM hapa wamepata mtu.
 
Ni Kwenye kikao chake na viongozi wa serikali zilizo kuwa zinafanyika kwenye ofisi ya Kata ya maji ya chai...Awali habari ziliwafikia viongozi wa CHADEMA kuwa Mwigulu na wafanyakazi hao wa serikali wako kwenye kikao cha siri wakipanga mikakati ya ushindi kwenye ofisi ya kata ya Maji ya chai ndipo viongozi wa CDM na TAKUKURU wakajipanga kwenda kutibua mchezo huo mchafu wa ccm lakini mita chache kabla ya kufika kwenye ofisi hiyo viongozi hao wa serikali pamoja na mwigulu walitimua mbio huku CDM na TAKUKURU wakiambulia viatu..

=============

Update
Mambo yamezidi kuwa magumu kwa CCM baada ya wazee na wachungazi wa makanisa mbalimbali kukata katakata kumpigia kampeni kama walivyo kuwa wameomba na Mwigulu ni kutokana tetesi kuwa Siyo Sumari ni Freemason na wanasema ana dalili zote kama kotoboa masikio, kuwa tatoo na nk...wamesema iliwaweze kumfanyia kampeni ni lazima Mwingulu ampeleze Siyoi Sumari kwa wazee hao wakajilizishe....
Na kufatia tifu tifu la Mwingulu na makada wa CCM pamoja na viongozi wa kata kukoswa koswa na TAKUKURU na baadae viongozi hao kurumbana sana wakishutumiana kuwa kuna wasariti kati yao hali iliyopelekea vikao kutokuendelea, kitendo hicho kimepelekea Mwingulu itwe Dar es Salaam kwenda kutoa maelezo kwa uzembe huo. Wakati huo CCM imempa jukumu la kukusanya pesa bw. Paul Kiligini ambae alikuwa mfanyakazi wa benki kuu akasimamishwa kwa kashifa ya kufoji risiti alizo kuwa amewapeleka watoto wake mapacha kwenda kutibiwa India wakati aliekuwa mgonjwa ni mmoja yeye akafoji na badala ya US$ 35000 ikawa US$ 70,000...hivyo amepewa jukumu la kutafuta pesa kupitia makampuni mbalimbali na kuziwasilisha kwa Mwingulu kwa kumkabidhi na si kupitia mabenki na hilo ni jukumu lake Paul ili arudishwe kazini...
mwigulu hiyo ni tabia yake Igunga nilimkamata anagawa rushwa kama kawaida na sasa ana nunua kadi zakupigia kura, picha za igunga alipokamatwa na PCCB ninazo kama ana bisha niziweke humu
 
Mambo yamezidi kuwa magumu kwa CCM baada ya wazee na wachungazi wa makanisa mbalimbali kukata katakata kumpigia kampeni kama walivyo kuwa wameomba na Mwigulu ni kutokana tetesi kuwa Siyo Sumari ni Freemason na wanasema ana dalili zote kama kotoboa masikio, kuwa tatoo na nk......
Hii sasa kali katoboa masikio kama teja..au kama wamasai maana hata wamasai, wakurya, wanyaturu hutoboa masikio.Wasiwasi wangu tusije tukapeleka teja bungeni.
 
Hii sasa kali katoboa masikio kama teja..au kama wamasai maana hata wamasai, wakurya, wanyaturu hutoboa masikio.Wasiwasi wangu tusije tukapeleka teja bungeni.

Wala sio kali ukipata nafasi ya kumsogelea Joseph Mbilinyi (Sugu) angalia masikio yake katoboa lakini hereni sijui kama bado anavaa.
 
Labda tuwaulize na mademu anapokuja mwenye pesa na asiye na pesa siku ya njaa.( Check ratio ya wanaofanikiwa na wasiofanikiwa ).:lol:
Watanzania wa miaka hii huwa hawana malengo ya muda mrefu na wala taswira ya hasara itokanayo na kuvunjika kwa mambo muhimu ktk jamii.Ndio maana utasikia akisema kama wewe unakula unajali nini?Kama wanaibiwa watu wengine unajali nini? sasa ikifikia kuwa ni yeye anaibiwa na tayari jamii haina ulinzi tena kwa watu km yeye na Kwa vile tayari hakuna aliyewahi kuwa tayari kuzuia wizi kukomaa ,ndipo anapolia kilio kikuu na serikali...hata wana CCM wanaofurahia chama chao kutoa rushwa huwa wanalia vibaya wanapoumizwa na rushwa ktk teuzi zao, halafu anajikuta hata TAKUKURU hawamsaidii.Utacheka zaidi kt ya wana CCM wanaotoka ktk mtandao wanakavyokuwa maadui wa chama na kujipendekeza ktk upinzani.Watajikuta wakitafunwa na mfumo walioufurahiwa ,kuupalilia na kuuwekea mbolea. Uliza police waastaafu wanapokuja vituoni na ndugu zao, rushwa inapokuwa tatizo, na kutaja jina au kusema kuwa aliwahi fanya kazi si mara zote inawasaidia as pegine pia alikuwa akiwakwaza wenzie...
Mimi huwa sielewi ufanisi wa rushwa kwenye uchaguzi. Kwani wapiga kura wanashindwa kutambua kuwa chama chochote kinachotumia rushwa kupata ushindi kinapaswa kutoswa? Hii ngoma si ya Takukuru maana Takukuru ni serikali ni CCM, hii ngoma inapaswa kuchezwa na wananchi wapiga kura wa Arumeru. Wao ndio wataenda kupiga kura kumchagua huyu au yule na kama rushwa itawabadilisha akili basi Tanzania tuna safari ndefu sana ya kuelekea democracy ya kweli.
 
Nape unatakiwa ujifunze kutoka Mwigulu, jinsi ya kujibu hoja humu JF sio kuwa unalalamika mpaka unaikana ID yako mwenyewe! Huyu Mwigulu namkubali akisikia uzushi kupitia jina lake anajitokeza kwa kasi ya ajabu na kujibu kwa lugha murua...CCM hapa wamepata mtu.
anakuja kwa kazi mpaka anapitiliza kituo, hana cha kujibu badala ya ni kakaenda-kakarudi, mwigulu sio mwanasisa ni ATM, kuna raia humu JF pia huwa wana-download fedha pale
 
MImi napenda tuu kukuuliza unaonaje suala la umeme kukatwa maeneo muhimu Arusha wakati CDM wanarusha live uzinduzi wao kupitia Star TV?Be fair kwani hata km ni bahati mbaya CCM wana mengi ya kupoteza ktk mioyo ya watu,Hasa ktk maneno km Ufisadi,Uchakachachuaji,etc.
njoo kesho nipo Akheri, Songoro na Nkoarisambu. Command Post ni USARIVA. NIMEANZA LEO NAZUNGUKA KATA ZOTE NAMALIZA ZIARA AWAMU YA KWANZA KATA ZOTE TAR 11. AWAMU YA PILI NITAANZA KILA KITONGOJI UNIULIZE RATIBA WALA USIPATE TABU
 
Back
Top Bottom