Mwigulu ashutumiwa kwa kuleta mkanganyiko Arumeru - Apendekeza Jina la 1 hadi 4 yakatwe

Kujiunga kwa Mwigulu hapa ndani ya JF na hivyo kuleta wabunge wengi zaidi ni dalili nzuri sana na kwa mbaali mwanga wa mabadiliko unaanza.

Nafikiri wengi mnakumbuka miaka kadhaa watu walitishiwa kufukuzwa kazi kwa kusoma JF ila sasa naona imeshakuwa historia kwani viongozi vijana (bila kujali wapo upande gani) wameanza kuingia hapa moja kwa moja kwa majina yao.

PJ, muache kwanza mgeni basi azowee maana hayo maswali yatakuja baadaye. Mwigulu Nchemba, karibu sana.
 
Mwigulu amependekeza vipi Sioi akatwe jamani? Utaratibu wa maamuzi ya chama unafanywa kwa vikao, na Mwigulu si mjumbe wa vikao vya huko Arusha na wala hana mandate ya kuamuru nani akatwe na nani asikatwe...tusubirini vikao vya juu viamue nani atatayetuwakilisha huko, sisi tutaenda kumnadi tu! Obviously, kuna watu wanamuogopa Mwigulu (Jembe la ukweli kutoka Iramba Magharibi) na kwa vyovyote vile akipewa jukumu hilo atawasumbua sana tu maana hana papara na anaweza mikiki mikiki ya siasa za sasa...
 
Wana Jf salam. Naomba kuweka wazi kuwa kika cha cc kufuatana na ratiba kitafayika saa nane hivyo bado hakijafanyika na pia mimi sina report yeyote cos nilifungua kikao tu sikuendesha zoezi hilo. Anayesema hayo ana lengo lake

Kalibu sana mheshimiwa ktk Jamii forums. Lakini cha kusikitisha mbona mkiwa bungeni mnaikandia sana JF?? Mama Lwakatare, MH malecela na vingozi kibao wa serikali yako wanaikandia sana JF? Kwa nini hujitokezi na kutetea JF kuwa si jukwaa la kihuni, si jukwaa la kugonganisha viongozi wa serikali na jamii. Vinginevyo sie wengine tutakuona kama ni mnafiki au double standard.
 
Karibu Jamvini kama ndo wewe..kwa kale kamchezo ka Igunga nadhani wanaJF wote wanatahadhali ya kutosha!
Tunaomba Arumeru endesheni siasa za kistaarabu,watu wamekusifu sana hapa jamvini kuwa una brain kali,sasa itumies kudisplay high intellectual maturity,Tanzania ni nyetu sote.
 
Mwigulu amependekeza vipi Sioi akatwe jamani? Utaratibu wa maamuzi ya chama unafanywa kwa vikao, na Mwigulu si mjumbe wa vikao vya huko Arusha na wala hana mandate ya kuamuru nani akatwe na nani asikatwe...tusubirini vikao vya juu viamue nani atatayetuwakilisha huko, sisi tutaenda kumnadi tu! Obviously, kuna watu wanamuogopa Mwigulu (Jembe la ukweli kutoka Iramba Magharibi) na kwa vyovyote vile akipewa jukumu hilo atawasumbua sana tu maana hana papara na anaweza mikiki mikiki ya siasa za sasa...

Mkuu kama wewe unavyomuogopa Bashe. Ukisikia yupo nzega na mtandao wake unaweweseka.
 
Nashukuru, kwanza kwenye hiyo Mwi gulu ni Mwigulu? Ni mbwembwe tu ila ndio mimi na haileti tofauti pia inavutwa kwa kutamka. Kuhusu ushindi kila mwanadamu hutarajia ya yalio ya heri hivyo natarajia chama changu kishinde.

Hivi wewe ni mbunge au?
 
Nashukuru, kwanza kwenye hiyo Mwi gulu ni Mwigulu? Ni mbwembwe tu ila ndio mimi na haileti tofauti pia inavutwa kwa kutamka. Kuhusu ushindi kila mwanadamu hutarajia ya yalio ya heri hivyo natarajia chama changu kishinde.

Mkuu jana kama nilikuona Arumeru mida ya saa tano hivi au siyo wewe?
 
Mwigulu amependekeza vipi Sioi akatwe jamani? Utaratibu wa maamuzi ya chama unafanywa kwa vikao, na Mwigulu si mjumbe wa vikao vya huko Arusha na wala hana mandate ya kuamuru nani akatwe na nani asikatwe...tusubirini vikao vya juu viamue nani atatayetuwakilisha huko, sisi tutaenda kumnadi tu! Obviously, kuna watu wanamuogopa Mwigulu (Jembe la ukweli kutoka Iramba Magharibi) na kwa vyovyote vile akipewa jukumu hilo atawasumbua sana tu maana hana papara na anaweza mikiki mikiki ya siasa za sasa...

Docta nadhani wewe ni mwana CCM lakini hujui hata vikao vya chama chenu. Secretariat ya CCM ndiyo inapendekeza jina kwa CC, Mwigulu ni Mweka Pesa katika hiyo secretariat, je hudhani kuwa kwa kuwa kwake Arumeru akijaribu kugawa pesa, kwamba anaweza kuishawishi secretariat ili isipendekeze jina la Sioi? Mwigulu sidhani kuwa ni tishio, tishio la CCM ni wananchi ambao wamewachoka, na bila kuwashawishi kwa pesa na ahadi za uongo hamuwezi kupata kitu. Kule igunga tunajua mligawa mahindi isivyo kawaida, mliahidi daraja ambalo ni jana tu watu wa Igunga wanalalamika kutoanza chochote. Sasa huko Meru inabidi mjipange vizuri, si watu wa kudanganyika kirahisi, kama wanawapenda mtapata, lakini kama wamewachoka mtakimbia kama Tarime 2008.

Kila la kheri, lakini saa ya ukombozi wa pili kwa Mtanzania imewadia.
 
Bro baada ya chupu chupu ya mgomo wa ma Dr, naona unasafisha hali ya hewa! Mwigulu kweli ni jembe! aliyoyafanya Igunga si haba mzee Mukama anazo taarifa zake, nikuombe Bro kama unataka kushain kama mwanasiasa Kijana uwe na msimamo kwa yale unayoyasimamia sio ukipigwa biti kidogo unanywea,nakumbuka sana issue ya mgodi kule Nzega,ulivyoaanza move nilianza kuona unajipambanua vizuri kama mwanasiasa makini,du yule afande aliponanihii tu..
Ukithubutu unaweza ila ukiiga...Kila la kheli siasani
 
Mwigulu amependekeza vipi Sioi akatwe jamani? Utaratibu wa maamuzi ya chama unafanywa kwa vikao, na Mwigulu si mjumbe wa vikao vya huko Arusha na wala hana mandate ya kuamuru nani akatwe na nani asikatwe...tusubirini vikao vya juu viamue nani atatayetuwakilisha huko, sisi tutaenda kumnadi tu! Obviously, kuna watu wanamuogopa Mwigulu (Jembe la ukweli kutoka Iramba Magharibi) na kwa vyovyote vile akipewa jukumu hilo atawasumbua sana tu maana hana papara na anaweza mikiki mikiki ya siasa za sasa...

umebakiza miaka 2.5 tukusahau!!!utaondoka na ****** wako!!!!
 
Nashukuru, kwanza kwenye hiyo Mwi gulu ni Mwigulu? Ni mbwembwe tu ila ndio mimi na haileti tofauti pia inavutwa kwa kutamka. Kuhusu ushindi kila mwanadamu hutarajia ya yalio ya heri hivyo natarajia chama changu kishinde.
Una any International Criminal records? huwezi kuniaminisha kwamba eti Mwi gulu na Mwigulu ni jina moja, Tafadhali hapa sio Facebook, watu tunahoji na kudadisi. huwezi kuingia kwenye Data base yoyote kumtafuta Mwigulu halafu uandike Mwi gulu, pls fafanuwa ur Identity.

Otherwise tutawasiliana na Admistrator kuiblock hii ID mpaka JF Administration itakapo confirm ukweli wa muhusika wa hii ID, hili naliongea kwa nia njema ili kuepuka mis use ya majina ya watu. ikumbukwe kuna mpumbavu mmoja humu aliwahi kujisajili kwa jina la Edward Lowasa na akatumia picha ya Lowasa, lakini hiyo Lowasa mwenyewe personal iliikana na imeshablokiwa.
 
Wana Jf salam. Naomba kuweka wazi kuwa kika cha cc kufuatana na ratiba kitafayika saa nane hivyo bado hakijafanyika na pia mimi sina report yeyote cos nilifungua kikao tu sikuendesha zoezi hilo. Anayesema hayo ana lengo lake

duuuh... mkuu kumbe upo humu jamvini!!!!!!!!!!! hope ulikuwa ukiingia kama guest na hatimaye umejiunga,karibu sana.. kwa hali hii inaonesha umesoma threads za jf nyingi tu na kuona vile ambavyo wananchi walivyowachoka nyie magamba,hasa sisi tuishio mijini na wengi waliosoma (wasomi) mana ndo tunaweza kutumia mitandao kama hii inayopatikana mjini... so unatuambia nini kuhusu suala la ufisadi ndani ya chama na serikali na hili la kutaka kurithishana madaraka kipuuzi? ni hayo mawili tu mkuu!!
 
KWANI UVCCM WAMEOA?

MBONA WANAANZA KUMUOGOPA?

WAWANUNULIE WAKE ZAO CONDOM :lol:ILI WAWE TAYARITAYARI KUUKABILI
 
Ndg wana JF. Kwanza naomba niweke wazi kuwa mtu kuongoza kampen anateuliwa na cc na kupitishwa na nec. Hilo lilifanyika na kwa taarifa tu kuongozakampeni sio starehe na sio jambo la kuombea. Hivyo mimi ningetamani kikombe hicho kipitie mbali ila ninapotumwa nakwenda. Pia anayedhani nina printing kariakoo namruhusu aichukue iwe yake kuanzia leo.
 
Mwigulu amependekeza vipi Sioi akatwe jamani? Utaratibu wa maamuzi ya chama unafanywa kwa vikao, na Mwigulu si mjumbe wa vikao vya huko Arusha na wala hana mandate ya kuamuru nani akatwe na nani asikatwe...tusubirini vikao vya juu viamue nani atatayetuwakilisha huko, sisi tutaenda kumnadi tu! Obviously, kuna watu wanamuogopa Mwigulu (Jembe la ukweli kutoka Iramba Magharibi) na kwa vyovyote vile akipewa jukumu hilo atawasumbua sana tu maana hana papara na anaweza mikiki mikiki ya siasa za sasa...

Mwigulu anaweza kuwa na sifa unazozitaka bro .....lakini kila siasa na kitabu chake...akileta siasa za Igunga meru ...watu watamtooa kinyesi na kumpiga picha au ale panga kabisa....mshaurini afunge zipu yake!!!!!..huku sio Igunga eti soo itaisha kwa kulipa faini...basi ,.hiyo njaa huku haipo......kama atataka kuoa afuate taratibu kabisa....tutampa mke....[awe wa pili au watatu atajuwa yeye]...atapewa kwa ndoa ya kimila..
 
Ndg wana JF. Kwanza naomba niweke wazi kuwa mtu kuongoza kampen anateuliwa na cc na kupitishwa na nec. Hilo lilifanyika na kwa taarifa tu kuongozakampeni sio starehe na sio jambo la kuombea. Hivyo mimi ningetamani kikombe hicho kipitie mbali ila ninapotumwa nakwenda. Pia anayedhani nina printing kariakoo namruhusu aichukue iwe yake kuanzia leo.
Mwigulu anaweza kuwa na sifa unazozitaka bro .....lakini kila siasa na kitabu chake...akileta siasa za Igunga meru ...watu watamtooa kinyesi na kumpiga picha au ale panga kabisa....mshaurini afunge zipu yake!!!!!..huku sio Igunga eti soo itaisha kwa kulipa faini...basi ,.hiyo njaa huku haipo......kama atataka kuoa afuate taratibu kabisa....tutampa mke....[awe wa pili au watatu atajuwa yeye]...atapewa kwa ndoa ya kimila.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom