Mwigulu ashutumiwa kwa kuleta mkanganyiko Arumeru - Apendekeza Jina la 1 hadi 4 yakatwe

Ofcoz kuna mambo mengi husemwa hapa na huwa ni ya kusingizia...ukiwachukulia serious watu unaweza kupasuka kichwa ama moyo kwa presha

Hamisi acha uzushi, unataka kutuaminisha ujinga kama mlivyozoea kuwahada watz wenye low self esteem. Kwa asilia 98 ni kweli.
 
Nashukuru, kwanza kwenye hiyo Mwi gulu ni Mwigulu? Ni mbwembwe tu ila ndio mimi na haileti tofauti pia inavutwa kwa kutamka. Kuhusu ushindi kila mwanadamu hutarajia ya yalio ya heri hivyo natarajia chama changu kishinde.

Tunashukuru sana kama imefikia hatua uykaona umuhimu wa kujiunga na JF. Katika kampeni za Igunga ulituhumiwa na kujihusisha na kutumia nafasi yako kama meneja wa kampeni kutembea na wake za watu hususana wananchama wenzako wa CCM, je tuhuma zinz ukweli wowote?
 
Ofcoz kuna mambo mengi husemwa hapa na huwa ni ya kusingizia...ukiwachukulia serious watu unaweza kupasuka kichwa ama moyo kwa presha

Mkuu nilijua uko kwenye kipindi mara umepitia huku?kuna suala 1 vijana wanakuona unauwezo wa kutetea mawazo yao nje ya itikadi shika hapo hapo ukiachia umetupoteza ila usiwe mnafiki wa kutaka umaarufu tu itoke moyoni.Big Up.
 
Wana Jf salam. Naomba kuweka wazi kuwa kika cha cc kufuatana na ratiba kitafayika saa nane hivyo bado hakijafanyika na pia mimi sina report yeyote cos nilifungua kikao tu sikuendesha zoezi hilo. Anayesema hayo ana lengo lake

Akufukuzae hakwambii ondoka,ni dhahiri hapo Arumeru Hutakiwi. Unaonaje ukiachana na mambo ya uchaguzi huko ARUMERU Mashariki kama hawajakukaribisha na badala yake ukaelekeza nguvu zako kuwatumikia wapiga kura wako wa IRAMBA MAGHARIBI ambao wako na matatizo mengi na ya msingi kabisa yanayotaka kutatuliwa na mbunge wao. Usipokuwa makini tuhuma ulizotupiwa huko Igunga zitakukuta na huko Arumeru
 
Huyo ndo Mwigulu mpenda sifa tangu siku nyingi, tangu akiwa Ilboru anapenda sana misifa na sasa anatafuta umeneja compaign. Utamtaka ubaya msukuma/mnyiramba huyu.
 
Ni vizuri mod ame verify tunakutegemea utupe msimamo kwenye maswala yenye maslahi kwa Taifa. I have known your leadership pontentals for a long time keep it up chief. Utafika mbali
 
Mwigulu jumatano wiki ilopita ulikuwa unafanya nn na yule demu mrefu kiasi pale Rhoterdam Usa river?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom