Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Moja, mbwa ni mnyama wa heshima sana. Angalia wenzetu kule ulaya wanavyomtumia, mwangalie Obama anavyoishi na mbwa. Angalia mbwa anavyofanya kazi na askari n.k. Sioni tatizo hata kidogo.
simtetei Mwigulu, ila hakuna mahali panaoonesha kuwa mwigulu amehusika na kitendo hiki. Bravo chadema maana hata wanyama wamewakubali
 
Tendo huwa linareflect akili za mtu! Angekuwa kafanya kitendo hicho mtu mwenye akili timamu mfano kama Filikunjombe ningeshangaa sana ila akifanya mwigul au lusind wala usipoteze muda kuwafikiria wakati inafahamika wazi utimamu wao unategemea na uelekeo wa mwezi, sasa hivi mwezi uko mashariki na karibia utakuwa mwezi muandama!
 
wadau hii imekaaje? je ni sawa ?
attachment.php

attachment.php


[video=youtube_share;Pm900e4TFcc]http://youtu.be/Pm900e4TFcc[/video]

View attachment 62326View attachment 62327View attachment 62328View attachment 62329View attachment 62330

Mbona huu mkutano hauna watu kabisa au walikuwa familia tu..
 
Nilikuwa naona makamanda wa cdm wakikanyaga na kuchoma moto kadi na bendera za ccm naona za kwao nazo zimevalishwa mbwa,siasa bana.
 
Ndi siasa tuvumiliane,naona wanajibu mapigo ya kijana wao alieuawa hivi majuzi na kina kitila mkumbo na mnyika
 
Ndio siasa tuvumiliane,naona wanajibu mapigo ya kijana wao alieuawa hivi majuzi na kina kitila mkumbo na mnyika
 
Ndio siasa tuvumiliane,naona wanajibu mapigo ya kijana wao alieuawa hivi majuzi na kina kitila mkumbo na mnyika

tafsiri ya mbwa kuvalishwa alama za chama manake hiki chama kinafanya vitendo vinavyostahili kufanywa na mbwa
 
Ebana hv huyu dogo anajiamini nini?nadhani amesahau msemo wa wahenga MAJUTO MJUKUU.
 
Mti wenye matunda ndio unarushiwa mawe! Haisaidii. Watz wanaakili wanaona na kusikia!
 
Nakumbuka kijana mmoja nadhani sehemu fulani kule Ruvuma miaka ya nyuma alifanya hivyo kwa kumvalisha nguo za sisiemu alifanywa nini vile kama kuna mtu anakumbuka
 
Sidhani kama ni taboo mbwa kuvaa bendera ni kitu cha kawaida kabisa. Mbaya ni kuwa mbwa huyu wa Mwigulu amelazimishwa wakati wengine wapo very friendly.

images



E001_A.jpg
 
na chadema tutaruhusiwa kufanya ujinga huo mimi nitaanza na picha za kumchafua kikwete..

Usiende haraka mkuu,,mpaka hapa hakuna proof kwamba aliyefanya hivo ni Mwigulu,,picha hazimwonyeshi yeye ambao ndo ulikuwa ushahidi saaaaafi. Usiwe provoked upesi, na mpiga picha alitakiwa kumlenga yeye mvalishaji na mbwa wake sasa kapiga mbwa pekee then anatuambia ni Mwigulu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom