NyakaiIkagogo
Senior Member
- Nov 5, 2013
- 182
- 46
Huyo ndo kiongozi wa CDM, wrote wako saw name Babu Slaa
Nchemba kwa kumpenda Mbowe! Tatizo mbowe ana familia! Jamaa anatamani kuolewa na MBowe!! Mbowe haoi wanaume!
Hivi na Lema uwa anakutana wapi na boyfriend wake?
Unaomba Muongozo wa kijinga kabisa... Ok mti wenye matunda hauishi kupigwa mawe,,, by the way kuchapiwa ni siri ya ndani...
Jocyce mukya.
Ni yule aliemfunga babu seya
Hahahahaha, una maana hujaelewa au ndiyo upo katika kutetea maasi?
Mwigulu anaumia kuwa wanasemwa wabunge wote kwa ubadhirifu wa mtu mmoja. Anasema magazeti yameandika kigogo wa bungeni. Bungeni kuna vigogo wengi kwa hiyo amelitaka bunge litoe mwongozo na liweke wazi ni kigogo yupi huyo aliyefanya mambo hayo. Ili Watanzania waelewe. Kuliko kupakaziwa vigogo wa bungeni wote.
By FaizaFoxy
Mwigulu amesimama kuomba muongozo wa Mwenyekiti wa kikao cha bunge.
Anasema Mbowe aliandika barua bungeni kutaka safari ya Mbunge mmoja mwanamke (inasemekana ni hawara yake) aliyetumwa na bunge na kutumia fedha za safari za bunge alikuwa New York akielekea kwingine, Mbowe aliomba ofisi ya utawala wa bunge kwa barua, safari ya huyo Mbunge ibadilishwe na aende Dubai kula raha na Mbowe badala kutekeleza majukumu aliyopewa.
Mimi nina mpenzi mmoja, tabia ya uzinzi usifikiri ni sifa, ni laana na mikosi.
Sisi tunaamini ile siku ya kiama wakati hukumu, kama ulikuwa mzinzi zile nyeti/nyuchi za watu uliokuwa unafanya nao zinaa zitakuwa zimejibandika usoni mwako.
Kwa mfano kama ni mwanaume zile nyeti za wanawake zitakuwa usoni, naamini slaa na mboe uso wao utakuwa kama tenga la kubebea nyaya.
Wewe Elizabeth Dominic kwenye uso wako zitajaa nyeti za rangi tofauti utafanya kuzifungia nyuma kama rasta.
Kwenye mafundisho haya tunaambiwa uzinzi ni laana na mikosi.
...Mkuu hiyo sidhani kama ni imani yako (I mean ya Kiafrica), lazima itakuwa ni ya waarabu au wazungu?Mimi nina mpenzi mmoja, tabia ya uzinzi usifikiri ni sifa, ni laana na mikosi.
Sisi tunaamini ile siku ya kiama wakati hukumu, kama ulikuwa mzinzi zile nyeti/nyuchi za watu uliokuwa unafanya nao zinaa zitakuwa zimejibandika usoni mwako.
Kwa mfano kama ni mwanaume zile nyeti za wanawake zitakuwa usoni, naamini slaa na mboe uso wao utakuwa kama tenga la kubebea nyaya.
Wewe Elizabeth Dominic kwenye uso wako zitajaa nyeti za rangi tofauti utafanya kuzifungia nyuma kama rasta.
Kwenye mafundisho haya tunaambiwa uzinzi ni laana na mikosi.
Mwigulu Nchema nilikuwa namtazama kama mwanasiasa kija msomi na mwenye tija kwa taifa. Ila leo amenifungua macho na akili nikagundua kuwa hana tofauti na Nape Nnawie.
Kiukweli kwa mtu aliekomaa akili na timamu ( mtu makini ) awezi kukubaliana na siasa maji taka anazozifanya Mwigulu bungeni, Mtu anapewa muda wa kuomba muongozo bungeni alafu anautumia kwa kumshambulia mwenzake tena kwa mambo ambayo ni person issues ambayo ukiingalia issue yenyewe kwa jicho la kitafiti utagundua dhamira ya Nchembe ni kuzalilisha na sio kulisaidia Taifa.
NB:
Tuache ushabiki tujadili kwa fikra thabiti.
Sasa kama alienda na demu tatizo ni nini? Nilidhani kaenda na dume.
Mbona ni mdada mrembo sana kwani ni munamuonea wivuJocyce mukya.
Tatizo ni kutumia fedha za walipa kodi kwa mambo binafisi mkuu!