Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

Status
Not open for further replies.
Mtasikia mengi sana. Jambo la kwenda na mwenamke nje au kutotumia posho si kosa la jinai. Wadaiwe warudishe tu zile posho. Hii ya Nchemba kukuza habari ya hawala wala halina mashiko yoyote. Anataka bunge lianze kujadili mambo ya maisha ya watu. Ni nani ambaye hana hawala kuanzia rais hadi mwananchi. Hata Nyerere na Kawawa Enzi zao walikuwa wakitoka toka. Sisi hatuingilii maisha binafsi ya mtu. Kama hawajatumia allowance wairudishe, wasipofanya hivyo safari zijazo watakatwa kwenye allowance hizo.
 
Mwenyekiti wa Buunge Mh.Zungu katoa ufafanuzi mzuri sana na kwa ufupi...kuwa swala la Mbunge kuchukua hela bila kusafiri ni swala la kiutawala,na kawaida Mbunge akipewa pesa na asisafiri basi hurudisha hizo pesa,Hivyo utawala wa bunge utaangalia namna watakavyorudisha!!
Na kwa taarifa tu,mambo haya huwa yanahusu utawala,na ndio maana kwa busara za Zungu kasema swala hilo halina uhusiano na mwongozo wa kiti zaidi ya kiutawala,mana halijafanyika ndani ya bunge,bali nje na linahusu Idara ya Fedha na Utawala ya Bunge na Mbunge,Na kama Mbowe alifanya mawasiliano na mtumushi wa bunge,ba huyo mtumishi akaidhinisha,basi haina shida,mana ni lazima kuna sbb zilizotolewa mpaka utawala wa bunge ukaridhia,ila sbb Mwigulu na MM walitaka kutengeneza ”scandal“ nyingine kwa Mbowe basi wakafanya walivyofanya leo.
Hii movie nayo imebuma,sterling ZZK na Mwigulu,baada ya ile ya Lwakatare wamekuja na hii,hata kabla hawajaipeleka ”Cinemax Theatre“ imebuma....mana jinsi Mwigulu alivyoiset na ZZK kuishobokea kwa kujidai eti ni aibu kwa Mbowe na Mukya,na kwamba atatumia kamati yake ya PAC kupeleka swala hili kwa CAG ili wawajibishwe.....Ha ha ha ha ha kutoka ”Movie ya Lwax mpaka movie ya Mbowe & Mukya“
 
Nchemba kwa kumpenda Mbowe! Tatizo mbowe ana familia! Jamaa anatamani kuolewa na MBowe!! Mbowe haoi wanaume!

Vyama vya siasa sisiondoe Uzalendo wetu, kama watu tulio waamini wanatuangusha tusikae kimya bila kuhari ni CDM,CCM au NCCR. ni upofu na ulimbukeni kama tutamjadili NCHEMBA huku tukijifanya vipofu tuuache uchafu huu upite. Tumlazimishe MBOWE ajibu uchafu huu, bahati nzuri limeongelewa Bungeni. NDIO UFISADI ANAO UPINGA ZZK . Watanzania wanakosa dawa hospital nyinyi mnatumia kwa tamaa zenu za ngono, Mbowe ubatoa picha gani kwa watz? Mnaenda kustarehe huko halafu cc mnataka mtuhalalulishie gongo ili tuzidi kujimaliza? Mbona nyinyi hamunywi? NBOWE NI FISADI TU. CDM SACCOS UTAIUWA KWA TAMAA ZAKO ZA NGONO. Mtakao nuna nuneni 2 Mcheke mna MENO?
 
useless almost retarded Mbowe...mkombozi, mpiganaji, kamanda ambaye ni mfaidika na akiendelea kufaidika vilivyo na utawala wa ccm na mabaya yake yote....political opportunist kama hawa ni kutupilia mbali 2005 alitaka tu kugombania uchanguzi ili awe karibu na watawala wa CCM 2007/8 baada ya Dr Slaa na Zitto kuijenga CDM bungeni kwa hoja za kizalendo za ktaifa Mbowe akadandia national politics na kujifanya crusader wa maovu ya ccm...ningekua ccm huyu ni mtu wa mwisho kuninyima usingizi
 
Jocyce mukya.
1600.jpg

Jamani mwenye picha nzuri ya dada yetu mstaarabu Lilian Mtei aibandike hapa tulinganishe tuone iwapo Mbowe amelogwa ama kweli huyu Joyce Mukya sijui Nkya analipa?
 
Hakuna aliye msafi hata mmoja
Wengine wanatusaliti ili wapate hela wakale na mahawara zao
Wengine Igunga
Kila mtu ni mchafu hakuna aliye msafi
Wananchi hatudanganyiki maana kila mmoja wetu sio msafi


Ni yule aliemfunga babu seya
 
Hahahahaha, una maana hujaelewa au ndiyo upo katika kutetea maasi?

Mwigulu anaumia kuwa wanasemwa wabunge wote kwa ubadhirifu wa mtu mmoja. Anasema magazeti yameandika kigogo wa bungeni. Bungeni kuna vigogo wengi kwa hiyo amelitaka bunge litoe mwongozo na liweke wazi ni kigogo yupi huyo aliyefanya mambo hayo. Ili Watanzania waelewe. Kuliko kupakaziwa vigogo wa bungeni wote.

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Mwigulu amesimama kuomba muongozo wa Mwenyekiti wa kikao cha bunge.

Anasema Mbowe aliandika barua bungeni kutaka safari ya Mbunge mmoja mwanamke (inasemekana ni hawara yake) aliyetumwa na bunge na kutumia fedha za safari za bunge alikuwa New York akielekea kwingine, Mbowe aliomba ofisi ya utawala wa bunge kwa barua, safari ya huyo Mbunge ibadilishwe na aende Dubai kula raha na Mbowe badala kutekeleza majukumu aliyopewa.


Kila siku huwa nakuambia kuwa CCM ina bahati mbaya kutetewa na watu wenye upeo mdogo kama wewe.

Hebu jisome ulivyoandika hapo juu hasa kwenye nyekundu!

1. Aliandika barua bungeni? Kwa hiyo Bunge liliridhia?! Kwa nini mashambulizi usiyafanye dhidi ya Bunge wewe na makuhani wako mnafanya mashambulizi dhidi ya mtu?! yaani una justify kwamba mhilimi wa bunge niwa kipumbavu kwenye kufanya maamuzi kiasi hicho?! mtu mwenye akili hapa atakuona wewe pamoja na mbunge (Mwigulu) wote ni wajinga wa kuupuuzwa tu.

2. Aliomba Ofisi ya utawala ya bunge... Yaani kama ofisi ya utawala ya bunge iliombwa na ikaridhia maana yake ni kwamba ilikubaliana na hoja za maombi. Kwa nini hutumii akili kujihoji kwa nini isibanwe ofisi ya utawala ya bunge matokeo yake mmbunge mjinga (Mwigulu) afanye character assasination dhidi ya mbunge mwingine?!

Muwe mnatumia angalau vipande vidogo vya mikate mnavyo pata kuziba nyufa kwenye mbongo zenu.
 
Mimi nina mpenzi mmoja, tabia ya uzinzi usifikiri ni sifa, ni laana na mikosi.

Sisi tunaamini ile siku ya kiama wakati hukumu, kama ulikuwa mzinzi zile nyeti/nyuchi za watu uliokuwa unafanya nao zinaa zitakuwa zimejibandika usoni mwako.

Kwa mfano kama ni mwanaume zile nyeti za wanawake zitakuwa usoni, naamini slaa na mboe uso wao utakuwa kama tenga la kubebea nyaya.

Wewe Elizabeth Dominic kwenye uso wako zitajaa nyeti za rangi tofauti utafanya kuzifungia nyuma kama rasta.

Kwenye mafundisho haya tunaambiwa uzinzi ni laana na mikosi.

Na wewe je?
Bora mimi nitaweza kujustify kuwa ni mwanamke na zipo sehemu husika we mwenzetu sijui za kiumeni zitakuwa zimefata nini kwako
 
Last edited by a moderator:
Mimi nina mpenzi mmoja, tabia ya uzinzi usifikiri ni sifa, ni laana na mikosi.

Sisi tunaamini ile siku ya kiama wakati hukumu, kama ulikuwa mzinzi zile nyeti/nyuchi za watu uliokuwa unafanya nao zinaa zitakuwa zimejibandika usoni mwako.

Kwa mfano kama ni mwanaume zile nyeti za wanawake zitakuwa usoni, naamini slaa na mboe uso wao utakuwa kama tenga la kubebea nyaya.

Wewe Elizabeth Dominic kwenye uso wako zitajaa nyeti za rangi tofauti utafanya kuzifungia nyuma kama rasta.

Kwenye mafundisho haya tunaambiwa uzinzi ni laana na mikosi.
...Mkuu hiyo sidhani kama ni imani yako (I mean ya Kiafrica), lazima itakuwa ni ya waarabu au wazungu?
 
Mwigulu Nchema nilikuwa namtazama kama mwanasiasa kija msomi na mwenye tija kwa taifa. Ila leo amenifungua macho na akili nikagundua kuwa hana tofauti na Nape Nnawie.

Kiukweli kwa mtu aliekomaa akili na timamu ( mtu makini ) awezi kukubaliana na siasa maji taka anazozifanya Mwigulu bungeni, Mtu anapewa muda wa kuomba muongozo bungeni alafu anautumia kwa kumshambulia mwenzake tena kwa mambo ambayo ni person issues ambayo ukiingalia issue yenyewe kwa jicho la kitafiti utagundua dhamira ya Nchembe ni kuzalilisha na sio kulisaidia Taifa.

NB:
Tuache ushabiki tujadili kwa fikra thabiti.

Ya Lema kuwamba baadhi ya mawaziri kuwa ni mzigo hulioni na walasiojambo binfsi kwako ila Mwigulu kuhoji matumizi ya pesa za uma katika mambo binafsi ndo unaona haina tija? achene kupenda viongozi kulikopitiliza.
 
Nchemba wewe KAPUYA MBAKAJI MNAE BUNGENI SINAKUULIZA WEWE MKUFULU WA MUNGU ETI NNA USHAIDI HATA MBINGUNI PUUUUUNBAV....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom