Mwigamba kumvaa Mnyika Ubungo

Uwakilishi, kuisimamia na kuishauri serekali ndo kazi za mbunge yoyote kwa haya juu mnyika amepambana sana hata wewe musa rohoni unakubari isipokua buku 7
 
Boss wake tu ayatorah mwenyewe hana uhakika wa kurudi bungen ndo ije kuwa hili nguruwemaji
 
Mi nahisi ujio wa Mwigamba jimbo la Ubungo ni kama kumpeleka Mbele Mnyika.......
Hii ni kwa sababu mwigamba ni mtu dhaifu sana na kura za Mnyika zimekaa. Hivyo ujio wake utapunguza japo kiduchu kura za CCM na sio za Mnyika.
mwigamba ni lori la mkaa,leyland CD,hawezi kupambana na ferari
 
Mara sisi wanaArusha, mara WanaArumeru na Leo ni MwanaUbungo......... Leo niambie kwenu ni wapi?

Mkuu hiyo ndo tabia ya maUVCCM kujifanya eti yanaishi kila jimbo la CHADEMA, kwahiyo tuyazoee tu.
 
LEMA, MNYIKA, SUGU, WENJE , KIWIA, MSIGWA, SELASINI etc hawa Bunge lijalo watalisikia tu!
 
musaallan Mhs Mnyika umemfanya Prof Magembe, Waziri wa maji??
Hiyo ni CCM ndg inatawala upo??
 
Last edited by a moderator:
LEMA, MNYIKA, SUGU, WENJE , KIWIA, MSIGWA, SELASINI etc hawa Bunge lijalo watalisikia tu!

Lema atarudi kwa kishindo
Mnyika atarudi kwa kishindo
Sugu atarudi kwa kimbunga
Wenje atarudi.
Kiwia
Msigwa atarudi
Selasini hatarudishwa na chama ila Rombo itakuwa chini ya Chadema...
 
Kwahiyo Mnyika anaiiga CCM?

Mnyika amefanya mengi mno, hadi upande wa maji amepigania sana ndani na nje ya bunge na ye kama mpinzani amewekewa kauzibe na ccm. We fikiria watu walofikia hatua ya kuwaapisha kwa nguvu watendaji ambao hawajashinda, watashindwa vpi kumuhujumu mnyika?
 
Hivi Arusha alishahama.

Naamin itakuwa kama mwaka 2010 MCHAKATO MAJIMBONI- Mjadala wa wazi kabisa na naomba Mungu niwepo ili nimuulize kwanini alitaka kufanya mapinduzi CHADEMA kwa kutumia jina feki la M2 sijui M3!!
 
Ni kumshushia hadhi J.Mnyika kumlinganisha na Mwigamba, yule ni mbunge wa kitaifa na hata kwa mkoa wa Dar ndiye mbunge aliyeongoza kushughulikia matatizo ya wananchi, ndiye mbunge peke bunge zima aliyepeleka na kuibua hoja nyingi bungeni na tayari keshajisafishia njia kuandaa team yake kubwa ya wenyeviti wa serikali za mitaa jimboni kwake!

Hakika Mnyika ni mbunge pekee atajayekalia jimbo la ubungo kwa muda mrefu.Mwigamba anajua kua hawezi kushinda ubungo ila lengo lake kuu linajulikana tu kwenda kugawa kura kitu ambacho hakiwezi.
 
Back
Top Bottom