Mwigamba kumvaa Mnyika Ubungo

Huyu Mwigamba aliyewatapeli wananchi wa Magu au kuna mwingine? kama ndiye Huyu msaliti basi hana hadhi ya kuwa hata diwani wa Viti maalumu
 
Mwigamba hauko strategic, ukitaka ubunge nenda kijijini kwenu, hapo mjini ni kwa wajanja kama akina mnyika, utapoteza hela zako na resources nyingine unnecesary. Ni kama vile hapa arusha useme unakuja kugombea hapa, itakuwa kwako kwani hapa hakuna hadithi ni chade,a tuuuuuuuuu.

Acha tu kuna mda kukawa tetetsi alitaka kuja Arusha kabisa aje akabiliane na Mh. Lema lakin wasaliti wezeka walimshauri kwa Kamand Lema utaji saliti mwenye kwa sasa nasikia anataka akajimalize kwa Mh.Mnyika muache aje hawoni ZZK nimjanja tu kwenye vimajimbo vya vichochoroni??
 
Ubungo watakuwa wajinga sana wasipomrudisha Mnyika. Hakuna fighter zaidi ya Mnyika ubungo. Mtu anaposema ameshindwa kuwatimizia mambo ya msingi, halafu hayataji, huyo ni mwehu hana lolote. Njoo na mada na useme wewe utatatua vipi sio kuleta mbwembwe hapa
 
acha ushamba geita tuliahidiwa maji na mr Ben na jk mpaka ana ondoka hakuna maji..mnyika kapambana sana ktk suala la maji
We wawap? mbona hueleweki mara geita mara ubungo! kama ni wageita yaubungo unayajuaje? kama walikuahid halafu hawakutimiza wabwagen hao akina ben kama wanavyotaka kufanyanya watu wa ubungo kumbwaga mnyika. au unataka kutuaminisha nn? kwamba aachwe au!
 
Mwigamba ana laana ya kukataliwa kila anapoenda na kufukuzwa..alishawahi kufukuzwa akiwa mwalimu shule moja Arusha
 
Mwigamba atasimamishwa Ubungo kwa niaba ya CCM ... kupitia Agizo la Chama Tawala ACT .... bahati mbaya sana mbinu na mikakati yao yote imewekwa hadharani ... Huyo Mwigamba ataambulia kura za familia yake tu kama atawahamasisha ... sitoshangaa hata mkewe akimpigia Mnyika ....
 
Mnyika wa 2010 sio huyu, wanaubungo walikuwa na matumaini naye baada ya kuwaahidi mambo kadhaa, ila sasa keshapoteza mvuto, kwani hajatekeleza ahadi yake hata moja!
Acha kudanganya wewe, mimi ni mkazi wa Ubungo na ninajua ahadi zake alizoahidi alizotekeleza na ambazo hakutekeleza. Waulize wananchi wa Makoka/Kibangu aliwaahidi nini wakati wanapata shida ya usafiri(barabara) kupitia Riverside baada ya ile ya awali karibu na daraja la TANESCO kubomoka. Nayasema hayo kwa kuwa nilikuwepo wakati anatoa ahadi hiyo na barabara imejengwa.
 
Duh mwaka huu! Je ni halali tu kuamua kugombea popote tanzania ubunge hata kama si makazi wa eneo husika? Kumbe ndiyo maana rasimu ya warioba ilitupuliwa mbali.
 
Usipotoshe umma wa watz makini,nani aiejua kuwa chama cha udini na ukabila na ukandani CHADEMA?au unataka turudie huu wimbo kwakuwataja majina na nyadhifa zao?
Wote ninyi ni viroboto wa ZZK.Mnyika hamumuwezi wapuuzi nendeni huko mwandiga mkaeneze udini wenu.
 
Back
Top Bottom