- Thread starter
- #81
Pia kutahiriwa muhimu kama haupita jando Fidel80. Kuna huyu mkaka kama mtawasiliana mtaendana vizuri. Rashid wa Arusha, hebu jitokeze.
Shukran sana MadameX, nalifanyia kazi wazo lako.
Pia kutahiriwa muhimu kama haupita jando Fidel80. Kuna huyu mkaka kama mtawasiliana mtaendana vizuri. Rashid wa Arusha, hebu jitokeze.
Hongera nasreem kwa ujasiri wako ,wewe ni kioo cha jamii naamini utapata tu mume mzuri ,kumbuka wako wengi nyuma yako umewawakilisha hapa hawana uthubutu wa kujaribu .big mom
Nahisi kuna kamtihani hapo kwa candidate wako atakayekuoa,maana akisha kula vizuri akiota kitambi utampiga chini?
"Umbo: asiwe na kitambi kwa kweli"
itakuwa shida kidogo kwa kijana mwenye umri wa zaidi ya 30 halafu asiwe na kitambi. kama siyo cha beer basi ni cha mahanjumati na mashatashata. au umesahau kitambi ni status!
\habari zenu wanajamii.
Jamani maisha ni safari ndefu na inahitaji uvumilivu na ujasiri. Nimetumia ujasiri wangu kwa kujitokeza katika jukwaa hili ili kuweza kupata mwenza ambae atakuwa mume kama muumba akibariki. Kwa aliye na nia ya dhati haswa naomba tuwasiliane kwa private message.
Sifa zangu
umri: Miaka 30
umbo:ni wa kawaida sana, na kwa wale wanopenda makalio makubwa, mimi sina jamani, ni bora kuwa mkweli!
Urefu: Centimeter158
rangi: Maji ya maharage
elimu: Degree mbili
kazi: Muajiriwa wa serikali
dini:islam
sifa za mtarajiwa
umbo: Asiwe na kitambi kwa kweli
urefu: Itakuwa vyema kama akinizidi maana isije leta zahma
rangi: Yeyote
elimu: Degree
kazi: Ni muhim maana maisha ni magumu sana
dini: Islam, ila uwe hujaoa!
Najua kunawatakoleta mzaha, ni kawaida sana kwenye jamii. Nipo tayari kwa maswali mtakayoyauliza. Karibuni!
hapana, sina bikra!
takwimu za hapa zinaonyesha waziwazi, sasa napata shida sana wanaosema kwenye watu watatu, basi wawili ni waislam!.
Huyu mdada anakutana na wenye kukidhi vigezo, tatizo kigezo cha dini kinawashinda
Seems Una kauli nzuri.. Unajibu maswali vizuri. Ndo mtoto wa kiislam anapaswa kuwa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
\
kinachokusumbua ni hizo degree mbili, unajiona wa tofauti, uko juu kuliko wengine.
Wakati wa kusoma hasa chuo, wangapi wametokea na kukutongoza? Ulikuwa unawajibu nini?
ilitokaje bikira yako!!!!
Mimi napita tu
Awe hajaoa kabisa, au awe hajaoa kabla ya kukuoa wewe?
Dah!Kila kitu nimekidhi kasoro Umri umenizidi Nareem sijui nijitose tu kwenye mpambano na mimi hivyo hivyo?
MWILI NYUMBA, umri huwa si tatizo kwa wale waliokubaliana, ila, tatizo huwa ni kwa jamii inayotuzunguka. Imekuwa ni vigumu sana kwa ndugu zetu, jamaa na marafiki kukubali uwezekano wa mwanamke kuwa mkubwa kwa mwanaume. Yakuhitaji kuwa na msimamo wa thati katika swala hili la sivyo utapata wakati mgumu sana. Nadhani utanikubalia kwa hili.
Mi kifridge hakipo kabisa (Kuna six pack) Hahahahaaavipi una ki-fridge yakhe!
Tulikuwa kwenye mchakato wa kuachana na kumbe Mungu alikuwa na mpango tuwe sote mie na wewe....sasa nakuonaje...:spy:Hapana Vin Diesel, hilo halitakuwa jema!