Mwenza wa maisha (mume) anahitajika!

Hongera nasreem kwa ujasiri wako ,wewe ni kioo cha jamii naamini utapata tu mume mzuri ,kumbuka wako wengi nyuma yako umewawakilisha hapa hawana uthubutu wa kujaribu .big mom

Ahsante sana HUGO CHAVES, maombi yako yataleta neema insha-allah!
 
Nahisi kuna kamtihani hapo kwa candidate wako atakayekuoa,maana akisha kula vizuri akiota kitambi utampiga chini?

Hapana, na lengo halitakuwa kusababishiana vitambi. Na hata kama itakuwa hivyo, basi tutajitahidi kukitibu!
 
"Umbo: asiwe na kitambi kwa kweli"

itakuwa shida kidogo kwa kijana mwenye umri wa zaidi ya 30 halafu asiwe na kitambi. kama siyo cha beer basi ni cha mahanjumati na mashatashata. au umesahau kitambi ni status!

Hapana, nilikuwa sijaijua hii, ila kwangu kitambi si status!
 
Seems Una kauli nzuri.. Unajibu maswali vizuri. Ndo mtoto wa kiislam anapaswa kuwa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
habari zenu wanajamii.
Jamani maisha ni safari ndefu na inahitaji uvumilivu na ujasiri. Nimetumia ujasiri wangu kwa kujitokeza katika jukwaa hili ili kuweza kupata mwenza ambae atakuwa mume kama muumba akibariki. Kwa aliye na nia ya dhati haswa naomba tuwasiliane kwa private message.

Sifa zangu
umri: Miaka 30
umbo:ni wa kawaida sana, na kwa wale wanopenda makalio makubwa, mimi sina jamani, ni bora kuwa mkweli!
Urefu: Centimeter158
rangi: Maji ya maharage
elimu: Degree mbili
kazi: Muajiriwa wa serikali
dini:islam

sifa za mtarajiwa
umbo: Asiwe na kitambi kwa kweli
urefu: Itakuwa vyema kama akinizidi maana isije leta zahma
rangi: Yeyote
elimu: Degree
kazi: Ni muhim maana maisha ni magumu sana
dini: Islam, ila uwe hujaoa!

Najua kunawatakoleta mzaha, ni kawaida sana kwenye jamii. Nipo tayari kwa maswali mtakayoyauliza. Karibuni!
\

kinachokusumbua ni hizo degree mbili, unajiona wa tofauti, uko juu kuliko wengine.

Wakati wa kusoma hasa chuo, wangapi wametokea na kukutongoza? Ulikuwa unawajibu nini?
 
takwimu za hapa zinaonyesha waziwazi, sasa napata shida sana wanaosema kwenye watu watatu, basi wawili ni waislam!.
Huyu mdada anakutana na wenye kukidhi vigezo, tatizo kigezo cha dini kinawashinda

umeanza upuuzi ule ule......huna jipya mpaka leo?
 
\

kinachokusumbua ni hizo degree mbili, unajiona wa tofauti, uko juu kuliko wengine.

Wakati wa kusoma hasa chuo, wangapi wametokea na kukutongoza? Ulikuwa unawajibu nini?

Ntamaholo huu ni mtazamo ulionao wewe, haimaanishi ni kosa kufikiri hivyo, la hasha, tunahitaji changamoto za watu kama nyinyi! Kusema ninadegree mbili haina maana yeyote ya kujiona tofauti, naomba unielewe hivyo. Swala la mahusiano nilishakua nalo, lakini kwa sababu zisizozulika, mahusiano yale hayakuzaa matunda.
 
Dah!Kila kitu nimekidhi kasoro Umri umenizidi Nareem sijui nijitose tu kwenye mpambano na mimi hivyo hivyo?

MWILI NYUMBA, umri huwa si tatizo kwa wale waliokubaliana, ila, tatizo huwa ni kwa jamii inayotuzunguka. Imekuwa ni vigumu sana kwa ndugu zetu, jamaa na marafiki kukubali uwezekano wa mwanamke kuwa mkubwa kwa mwanaume. Yakuhitaji kuwa na msimamo wa thati katika swala hili la sivyo utapata wakati mgumu sana. Nadhani utanikubalia kwa hili.
 
MWILI NYUMBA, umri huwa si tatizo kwa wale waliokubaliana, ila, tatizo huwa ni kwa jamii inayotuzunguka. Imekuwa ni vigumu sana kwa ndugu zetu, jamaa na marafiki kukubali uwezekano wa mwanamke kuwa mkubwa kwa mwanaume. Yakuhitaji kuwa na msimamo wa thati katika swala hili la sivyo utapata wakati mgumu sana. Nadhani utanikubalia kwa hili.



Hapo kwenye mtazamo wa jamii juu ya umri ndiyo hofu yangu hasa,wabongo hawakawii kusema unanibaka!Anyway ntakucheki katika PM kwa maongezi zaidi after all the age gap is not that much huge!
 
Nimependa unavyobehave hapa kwenye kujibu maswali,ngoja nimwambie mdogo wangu akutafute maana ndio wa umri wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom