Is a gud guy.AMEWEZA KUWAVUMILIA NA KUWABEBA CDM HATA WAKAPATA MAJIMBO MENGI INGAWA WALIKUWA WANATUKANA KAMA INAVYOJIDHIHIRISHA HAPA.
hatuna kumbukumbu za kutosha kuhusu utumishi wake kama jaji; lakini kama mwenyekiti wa tume ya uchaguzi tutamkumbuka kwa wizi na uchakachuaji wa kura pamoja na kuchangia kuviza demokrasia yetu changa.
kwanı wa sasahv nı nanı?
mmh! Şıjuı kama kuna kupona hapo
Anashikilia Kikwete kwa muda.
Tutamkumbuka sana kwa kutuingiza watanzania katika maisha magumu na dimbwi la umasikini wa kupindukia kwa kutuchagulia rais kilaza kwa kushirikiana na usalama wa taifa. Kwa hili hatutamsahau kamwe.Wanadamu wengi wanaokuwa kwenye kazi na kuondoka au wanapofariki huwa wanakumbukwa kwa yale mema waliofanya walipokuwa kwenye ile ofisi au duniani. Kwa mtazamo huo yupo mtu aliyekuwa mhimu kwa mustakabali wa Tanzania huyu si mwingine ni Jaji mstaafu aliyekuwakuwaMwenyekiti wa tume ya uchaguzi Lewis Makame ambaye kwa mujibu wa vyombo vya habari amefikia mwisho wa utumishi wake. Sasa tujiulize Watanzania tunaweza kumkumbuka kwa yapii mema au ni alama gani ameiacha ambayo kwayo atakumbukwa kwayo?
Atakumbukwa kama respected Judge of High court,Wanadamu wengi wanaokuwa kwenye kazi na kuondoka au wanapofariki huwa wanakumbukwa kwa yale mema waliofanya walipokuwa kwenye ile ofisi au duniani. Kwa mtazamo huo yupo mtu aliyekuwa mhimu kwa mustakabali wa Tanzania huyu si mwingine ni Jaji mstaafu aliyekuwakuwaMwenyekiti wa tume ya uchaguzi Lewis Makame ambaye kwa mujibu wa vyombo vya habari amefikia mwisho wa utumishi wake. Sasa tujiulize Watanzania tunaweza kumkumbuka kwa yapii mema au ni alama gani ameiacha ambayo kwayo atakumbukwa kwayo?