MKWECHE
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 299
- 64
Kiongozi Machachari na Mwenyekiti wa DP Mchungaji Christopher Mtikila Amekusudia Kumshtaki Mchungaji Mstaafu Ambilikile mwasapila Babu Wa Loliondo kwa Kusababisha Maafa ya Watu Kupitia Dawa yake ya Maajabu!Ambayo Mtikila Ameitaja kama dawa ya Kitapeli na Babu ni Mwongo!
Mtikila kaenda mbali na Kukusudia Kuishtaki serikali kwa Kumshabikia Babu kupitia Ziara za Viongozi wa Juu kwenda Loliondo huku wakitumia Rasilimali za Taifa kwa Ajili ya Babu ambae amemwita Mwongo na Tapeli!
Mie Mkweche nilikosaga nauli za Kwenda kwa Babu ila kwa kipindi kile ningeendaga!
Kwa Sasa hata Bure siendi ng'o