Mwenyekiti wa DP, Christopher Mtikila kumshitaki mahakamani 'Babu wa Loliondo'!

kwa kifupi mtikila tume mchoka kwa kesi ziczo na mcngi 2ngemuona wa maana kama angekuwa mstari wa mbele kuwa shitaki walio tuleta gizani kwa mikataba mibovu ,pia angeenda mahakamani kushitaki wakina chenge kwa kesi rada kesi pamoja na jopo lake lote .Kwa babu Mtikila anataka asikike 2jue kuwa bado yupo lakini kwa kec za kipumbavu.
<br />
<br />
inaonekana hufahamu sheria mtikila anajua anachofanya ni mtu jasiri angalia kesi kama ya takrima.kuhusu akina chenge mtikila hana mamlaka ya kufungua shauri wenye mamlaka ni serikali kupitia upande wa mashtaka..kama ana ushahidi wa ufisadi sheria inamruhusu kuuwakilisha kwa mkurugenzi wa mashtaka
 
Ukulazimishwa kunywa dawa
Babu alisema lazma uwe na IMANI
Imani ni kila ki2 ktk maisha au we ujui,walio na iman zao walipona bt walio na iman haba km ya....soma bible utamjua hawakupona.
MUNGU nisamehe kwa kumtuc mtumish wako 4 su Mtikila ana2mia masaburi na cjui ni mchungaji wa wa2 au..?
Anadiliki ht kumshtaki mtumish mstafu wa mungu ambae alikuepo b4 ye2
Dis z 2much Mtikila aka bro Cris
 
Basi wanafunzi wa sheria meno nje mtapata kesi za ku-refer..hiyo kesi itakuwa void coz mambo ya kiimani ngumu ku-prove kisheria
 
Ishu hapa siyo mtikila wala kwenda mahakamani! Mtikila au yeyote yule kwenda mahakamani ni matokeo tu ya jinsi jamii ya kitanzania ilivyo.Suala la babu wa LOLIONDO kujitokeza na upuuzi wake kimekuwa ni kipimo tosha kabisa kwa jamii ya binadam kupimwa na kufaham ni jinsi gani jamii fulani inaweza kufikiri kwa kutumia KICHWA au MAKALIO
 
Kujitokeza kwa babu wa loliondo kumetuonesha jinsi wanajamii wengi wanavyofikiri kwa kutumia makalio wakiwemo viongozi wetu
 
kwa nini asiishitaki Muhimbili inayopasua kichwa badala ya mguu na mguu badala ya kichwa?
huyu Mtikila sasa nae anatafuta sifa, mtapeli kibao wapo nchini mbona hajawafungulia kesi?
na wengine sasa wapo nyumba ya kutunga sheria za kumuongoza mbona hajawashtaki
 
Its not important to put in trial babu assume kama watu wangepona ingekuwaje japo tumeingia hasara the past is over.
 
mtikila hebu waache kkkt nao ni waja c unajua zamu yao 4 running 2015?
 
kwa nini asiishitaki Muhimbili inayopasua kichwa badala ya mguu na mguu badala ya kichwa?
huyu Mtikila sasa nae anatafuta sifa, mtapeli kibao wapo nchini mbona hajawafungulia kesi?
na wengine sasa wapo nyumba ya kutunga sheria za kumuongoza mbona hajawashtaki

Naona kuna dalili ya Bifu la Watumishi siku hizi!Waumini tumegeuzwa customers wao!
 
Kusema ukweli mimi namjua huyu kijana (mchungaji) toka akiwa shule. na nimekuwa karibu naye takribani miaka 25 hivi lakini hadi leo nakiri hapa sijui kitu gani anataka kukifanya hapa duniani. nasema hivi kwa sababu amekuwa na miradi ya ajabuajabu yenye utata mkubwa ambayo hatima yake huwa haieleweki kama ambavyo yeye asivyoeleweka. ninadhani huwa anatumwa na mtu au kikundi fulani ndio maana hata misimamo yake haieleweki. Ni nani hasa anayemtuma huyu mchungaji??? au yoyote mwenye majani ya kijani? siku moja ambayo haipo mbali sana tutajua kwasababu kuna timu imeanza kupungukiwa wachezaji:A S-rap:
 
Msipoteze resources zenu kumjadilili huyu mchungaji, kumbukumbu zinaonyesha alimwagwa ubongo kule tarime, hivyo uwezo wake wa kuijenga tanzania tunayohihitaji ulikomea pale.
 
waislam pale mtaa wa pangani alitaka kuwadhulum msikiti eti alidai yule mama wa kimanyema aliyetaka nyumba yake ijengwe msikiti alikuwa muumin wa kanisa lake. Weee wakasema takbir tutamsomea cjui sura gani wakataja alafu tutafunga siku 2 mtikila mpaka leo ukitaka kugombama nae mwambie aende pale. Mtata mzee huyo!
 
Kwani watu walilazimishwa kwenda kunywa kikombe, mchungaji mtkl roho inamuuma alitamani dili ile angeivumbua yeye.
 
Back
Top Bottom