Mwenyekiti wa chadema uk(lukosi) rudisha vitu vya wahanga wa mafuriko.

Bull

JF-Expert Member
Nov 4, 2008
1,094
253
TANGAZO KWA WADAU WAISHIO UK LA HARAMBEE KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO TANZANIA...!!! - JESTINA GEORGE
Bwana chris Lukosi mwanasiasa mahiri wa Chadema ambaye hata katiba ya chadema haifahamu.amekuja na gea mpya ya kukusanya Fedha za watanzania walioko Uingereza ili ziwe kwa ajili ya Vifo.

lukosi mapema mwaka huu alitangaza harambee kwa watanzania ya kukusanya vifaa na pesa nyingi tu kwa ajili ya wahanga wa mafuriko ya jangwani. hadi sasa MWAKA unakatika hajakabishi pesa wala vifaa mbali mbali alivyokusanya.anatutia mashaka makubwa.

chadema wamekosa mtu kiasi cha kuota misheni town wa uingereza kuongoza chama chao?
Watanzania mnaotaka kuibiwa tena kwa mgongo wa vifo ulizeni kwanza uadilifu wa bwana chris.atueleze fedha na mizigo ile amepeleka wapi?
 
CCM kwa majungu. Tungeanza na Mabilioni yetu huko Uswizz, EPA, Richmond kabla hatujafikiria vijichango hivi
 
nimeweka link ya chris lukosi akiwaingiza mjini wana Uk. atupe maelezo ya fedha hizo kabla ya hizi anazotaka tena
 
TANGAZO KWA WADAU WAISHIO UK LA HARAMBEE KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO TANZANIA...!!! - JESTINA GEORGE
Bwana chris Lukosi mwanasiasa mahiri wa Chadema ambaye hata katiba ya chadema haifahamu.amekuja na gea mpya ya kukusanya Fedha za watanzania walioko Uingereza ili ziwe kwa ajili ya Vifo.

lukosi mapema mwaka huu alitangaza harambee kwa watanzania ya kukusanya vifaa na pesa nyingi tu kwa ajili ya wahanga wa mafuriko ya jangwani. hadi sasa MWAKA unakatika hajakabishi pesa wala vifaa mbali mbali alivyokusanya.anatutia mashaka makubwa.

chadema wamekosa mtu kiasi cha kuota misheni town wa uingereza kuongoza chama chao?
Watanzania mnaotaka kuibiwa tena kwa mgongo wa vifo ulizeni kwanza uadilifu wa bwana chris.atueleze fedha na mizigo ile amepeleka wapi?

Highlighted, ni ukweli usio mashaka...
 
Olympic2012,
Tunashukuru kwa taarifu kumbe kuna misaada ya waathirika wa mafuriko kachangisha halafu pesa wamekula huu utapeli mwingine, wamemwambia Lema wataipa Chadema magari manane Nissan na Chopa, Lema kaingia mkenge alivyofika Tanzania akatangaza.
 
Last edited by a moderator:
by the way, yale matawi aliyoenda kufungua Lema Ujerumani vipi? Mbona kimya kimya katokezea Bongo?
 
Vipi tuliletewa Breaking News humu jamvini kuwa Lema, kakutana na Meya wa London vipi mkuu Olympic2012 walikutana kweli,
 
Last edited by a moderator:
TANGAZO KWA WADAU WAISHIO UK LA HARAMBEE KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO TANZANIA...!!! - JESTINA GEORGE
Bwana chris Lukosi mwanasiasa mahiri wa Chadema ambaye hata katiba ya chadema haifahamu.amekuja na gea mpya ya kukusanya Fedha za watanzania walioko Uingereza ili ziwe kwa ajili ya Vifo.

lukosi mapema mwaka huu alitangaza harambee kwa watanzania ya kukusanya vifaa na pesa nyingi tu kwa ajili ya wahanga wa mafuriko ya jangwani. hadi sasa MWAKA unakatika hajakabishi pesa wala vifaa mbali mbali alivyokusanya.anatutia mashaka makubwa.

chadema wamekosa mtu kiasi cha kuota misheni town wa uingereza kuongoza chama chao?
Watanzania mnaotaka kuibiwa tena kwa mgongo wa vifo ulizeni kwanza uadilifu wa bwana chris.atueleze fedha na mizigo ile amepeleka wapi?
Unapoanzisha mada, inabidi uwe na facts kabla hujakurupuka kutoa kasha.
Kwanza naomba utuambie wewe unayesema huyu lukosi amekula hela za mafuriko ulichangia kiasi gani? ulitoa hela au hata kitu chochote?
Nimeongea na lukosi na kasema atakuja kujibu hoja hizo muda si mrefu
 
Kumbe kweli mliwachangisha watu pesa za mafuriko sasa mbona mpo kimya mpaka mkumbushwe.
 
TANGAZO KWA WADAU WAISHIO UK LA HARAMBEE KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO TANZANIA...!!! - JESTINA GEORGE
Bwana chris Lukosi mwanasiasa mahiri wa Chadema ambaye hata katiba ya chadema haifahamu.amekuja na gea mpya ya kukusanya Fedha za watanzania walioko Uingereza ili ziwe kwa ajili ya Vifo.

lukosi mapema mwaka huu alitangaza harambee kwa watanzania ya kukusanya vifaa na pesa nyingi tu kwa ajili ya wahanga wa mafuriko ya jangwani. hadi sasa MWAKA unakatika hajakabishi pesa wala vifaa mbali mbali alivyokusanya.anatutia mashaka makubwa.

chadema wamekosa mtu kiasi cha kuota misheni town wa uingereza kuongoza chama chao?
Watanzania mnaotaka kuibiwa tena kwa mgongo wa vifo ulizeni kwanza uadilifu wa bwana chris.atueleze fedha na mizigo ile amepeleka wapi?
ok utajibiwa na mwenyewe
 
Nimefurahi kuona umekosa jambo la maana zaidi ya kujaribu kupinga mikakati ya kimaendeleo na maana kwa watanzania wote. Ni kweli Serengeti freight tuliandaa harambee ya kusaidia waliopatwa na mafuriko Dar tukisaidiana na Jestina George. hii ilikuwa ni kutokana na uzalendo tulionao na upendo wetu kwa watanzania wenzetu. Ukumbuke kuwa watu wote waliokuwepo pale waliona nini kilichochangwa na picha zilipigwa(HAKUNA MTU ALIYECHANGISHWA HELA SHAHIDI ALIKUWA NAIBU BALOZI KWANI ALIKUWEPO MUDA WOTE WA HARAMBEE). Mzigo tuliusafirisha bure bila kumtoza mtu nauli. Kutokana na kuwa mchango uliotolewa ulikuwa mdogo sana kama uonavyo kwenye picha. ilibidi tuusafirishe kwenye kontena la kampuni yangu binafsi na ulipofika Dar es salaam tumeulipia ushuru bila kuomba msamaha wa kodi. Sawa mzigo umechelewa na sababu za kuchelewa ni kama ifuatavyo
MICHANGO ILIYOTOLEWA ILIKUWA NI MIDOGO SANA HAIKUWEZA KUFIKA HATA ROBO YA KONTENA DOGO
WATU WACHACHE SANA WALIJITOKEZA KUTOA MCHANGO
KONTENA LILOPAKIWA MZIGO LIMECHELEWESHWA NA CUSTOMS SASA NI MWEZI WA TATU TOKA LIFIKE TUMEISHALIPIA KILA KITU LAKINI BADO TUNASUMBULIWA NA UTARATIBU MBOVU WA BANDARINI AMBAO KILA MTU ANAUFAHAMU.
Mimi nimechangisha kwa moyo wangu.
Nimesafirisha bure
Nimelipia ushuru kwa pesa yangu
Wewe unayepiga kelele humu jee ulichangia nini ? na kwenye ile picha ulikuwepo. uzuri ni kuwa ninawafahamu wote waliotoa kwa sababu sio wengi anyway.
Tumeishpata release ya kontena na inshalah, wakati wowote mtapata picha za mzigo akikabidhiwa mkuu wa mkoa.
DONATED BY TANZANIANS IN UK FOR THE FLOOD VICTIMS
Kwa wale wanaojua ku track nenda SAFMARINE website Container number ni PONU0312771
Nita attach bill of lading later ili uone vizuri
 
Kelele zote,picha kibao halafu mzigo wenyewe haufiki hata robo container. Huu ndio mchango wa watanzania walio jazana UK? Ni aibu kubwa. Halafu hivyo vitu watagaiwa watu wangapi? Si bora mgefanya kimya kimya tu.
 
Kwanini hamsemi ukweli, mlitaka mpewe msamaha wa kodi wa container nzima kwa kigezo cha vitu vya msaada,customs wakashtukia dili na ndio maana mzigo umekwama.
 
Back
Top Bottom