Mwenyekiti wa chadema uk(lukosi) rudisha vitu vya wahanga wa mafuriko.

Nimefurahi kuona umekosa jambo la maana zaidi ya kujaribu kupinga mikakati ya kimaendeleo na maana kwa watanzania wote. Ni kweli Serengeti freight tuliandaa harambee ya kusaidia waliopatwa na mafuriko Dar tukisaidiana na Jestina George. hii ilikuwa ni kutokana na uzalendo tulionao na upendo wetu kwa watanzania wenzetu. Ukumbuke kuwa watu wote waliokuwepo pale waliona nini kilichochangwa na picha zilipigwa(HAKUNA MTU ALIYECHANGISHWA HELA SHAHIDI ALIKUWA NAIBU BALOZI KWANI ALIKUWEPO MUDA WOTE WA HARAMBEE). Mzigo tuliusafirisha bure bila kumtoza mtu nauli. Kutokana na kuwa mchango uliotolewa ulikuwa mdogo sana kama uonavyo kwenye picha. ilibidi tuusafirishe kwenye kontena la kampuni yangu binafsi na ulipofika Dar es salaam tumeulipia ushuru bila kuomba msamaha wa kodi. Sawa mzigo umechelewa na sababu za kuchelewa ni kama ifuatavyo
MICHANGO ILIYOTOLEWA ILIKUWA NI MIDOGO SANA HAIKUWEZA KUFIKA HATA ROBO YA KONTENA DOGO
WATU WACHACHE SANA WALIJITOKEZA KUTOA MCHANGO
KONTENA LILOPAKIWA MZIGO LIMECHELEWESHWA NA CUSTOMS SASA NI MWEZI WA TATU TOKA LIFIKE TUMEISHALIPIA KILA KITU LAKINI BADO TUNASUMBULIWA NA UTARATIBU MBOVU WA BANDARINI AMBAO KILA MTU ANAUFAHAMU.
Mimi nimechangisha kwa moyo wangu.
Nimesafirisha bure
Nimelipia ushuru kwa pesa yangu
Wewe unayepiga kelele humu jee ulichangia nini ? na kwenye ile picha ulikuwepo. uzuri ni kuwa ninawafahamu wote waliotoa kwa sababu sio wengi anyway.
Tumeishpata release ya kontena na inshalah, wakati wowote mtapata picha za mzigo akikabidhiwa mkuu wa mkoa.
DONATED BY TANZANIANS IN UK FOR THE FLOOD VICTIMS
Kwa wale wanaojua ku track nenda SAFMARINE website Container number ni PONU0312771
Nita attach bill of lading later ili uone vizuri

Hii thread imemtoa nyoka ¨pangoni. hahahahahahahaha
naona mkuu umeiweka ile ID yako pembeni na kujisajiri kwa jina lako leoleo kujibu hoja. Safi sana...
 
Tukiweka masihara na utani pembeni, Chris unastahili pongezi. Jambo ulilolifanya ni la maana na linapaswa kuigwa.
Hata ujasiri wa kuanzisha kampuni ugenini unapaswa kupongezwa na ni mfano mzuri kwa diaspora.
Kuhusu vijembe vya siasa, try to take it easy kwa sababu siasa na vijembe ni damdam. Just focus kwenye lengo lako kuu.
Good job Chris...
 
Kwanini hamsemi ukweli, mlitaka mpewe msamaha wa kodi wa container nzima kwa kigezo cha vitu vya msaada,customs wakashtukia dili na ndio maana mzigo umekwama.
Unaweza kwenda customs kesho ukawauliza kama serengeti imewahi kuomba msamaha?
Hatuna sababu hizo kaka. ndio maana nimeweka hadi container number na muda si mrefu naanika hadi bill of lading uone kuna nini
Naomba tujadili mambo ya muhimu badala ya kupoteza muda kupiga majungu ya kitoto.
Mfuko wa kufa na kuzikana utawasaidia watanzania wote waishio UK . wewe kama mtoto wa kigogo tunajua ubalozi utakusafirisha lakini ujue kuna watoto wa wakulima tuko wengi na tunaona umuhimu wa huo mfuko. Inasikitisha sana kuona CCM mnafikia hatua hata ya kukebehi mtu anapoamua kujitolea kusafirisha mizigo ya msaada bure na kuilipia ushuru bila kuomba msamaha. Juzi kuna mizigo mingine ya shule ya mahango tumeisafirisha bure.
Sisi tunatoa kwa moyo, Jee wewe ambaye unaona tunakosea umelifanyia nini taifa lako?
Nakuomba ukae chini ufikirie halafu najua mwenyewe nafsi yako itakuambia nini cha kufanya.
Wazee Wa Kazi Wanapiga Boksi Kusafirisha Mzigo Wa Misada Ya Hisani Kwenda Kijiji Cha Mahango, Madibira

Views

1.jpg

02.jpg

7.jpg
Dear Mwenyekiti,
Kama tulivyoahidi, mzigo wetu umepakiwa leo na kupelekwa bandarini tayari kwa kuanza safari tarehe 30/08/2012 na utawasili huko tarehe 23/09/2012 mzigo tumeupakia kwenye moja ya malori yetu, Pichani ni mimi Chris Lukosi na Hassan Richard tukiwa tunapiga boksi.

Kwenu Chris na wenzako,
Tunashukuru sana kwa jitihada zenu, na hasa kwa vile mmejitolea kutuma bila malipo mizigo hiyo ya misaada ya hisani kwa ajili ya watoto wa kijijini Mahango, Madibira. Msaada uliotolewa na watu wa mji wa Norwich nchini Uingereza kwa kupitia jitihada za mtoto Lukeman aliyechangisha fedha na hata kukusanya misaada hiyo kwa ajili ya watoto wenzake wa Tanzani.
Kwa mara nyingine tena, tunawashukuru kwa moyo wenu.

Maggid Mjengwa,
Mwenyekiti, Mjengwablog
Iringa.

Unaweza kwenda customs kesho ukawauliza kama serengeti imewahi kuomba msamaha?
Hatuna sababu hizo kaka. ndio maana nimeweka hadi container number na muda si mrefu naanika hadi bill of lading uone kuna nini
Naomba tujadili mambo ya muhimu badala ya kupoteza muda kupiga majungu ya kitoto.
Mfuko wa kufa na kuzikana utawasaidia watanzania wote waishio UK . wewe kama mtoto wa kigogo tunajua ubalozi utakusafirisha lakini ujue kuna watoto wa wakulima tukop wengi na tunaona umuhimu wa huo mfuko. Inasikitisha sana kuona CCM mnafikia hatua hata ya kukebehi mtu anapoamua kujitolea kusafirisha mizigo ya msaada bure na kuilipia ushuru bila kuomba msamaha. Juzi kuna mizigo mingine ya shule ya mahango tumeisafirisha bure.
Sisi tunatoa kwa moyo, Jee wewe ambaye unaona tunakosea umelifanyia nini taifa lako?
Nakuomba ukae chini ufikirie halafu najua mwenyewe nafsi yako itakuambia nini cha kufanya.
wewe ulikua wapi kutoa maelezo yote haya,mpaka umeletwa humu JF. Kajitete kwa walio changa, hao ndio wanaotaka haki yao.
mchango wangu ni kulipa kodi zilizo saidia kufungua hilo tawi lenu na posho unayo kula wewe ya CDM.
 
Tukiweka masihara na utani pembeni, Chris unastahili pongezi. Jambo ulilolifanya ni la maana na linapaswa kuigwa.
Hata ujasiri wa kuanzisha kampuni ugenini unapaswa kupongezwa na ni mfano mzuri kwa diaspora.
Kuhusu vijembe vya siasa, try to take it easy kwa sababu siasa na vijembe ni damdam. Just focus kwenye lengo lako kuu.
Good job Chris...
Hahaha,
Asante kaka, lakini kwa suala zito kama hili imebidi niweke kila kitu bayana ili watu waone waelewe, sikatai mzigo umechelewa sana lakini sio kosa letu ni kosa la hao waliofukuzwa kazi leo na Mwakyembe
 
Naona mnapeleka msaada wa TV ya kizamani wakati jamaa hawana hata umeme. Sijui wataipika wanywe supu.
 
Kamanda CHRIS LUKOSI pongezi zako kwa kuwanyima usingizi waganga njaa wa ccm walioko huko UK.
Hizi kelele zinazopigwa hapa ni dalili za wazi kwamba wewe ni tishio kwa uhai wa ccm uk.
 
Last edited by a moderator:
Jasusi,
Mie nimeuliza tu kufahamu wala sio ushabiki, nimeiona hiyo mizigo nadhani ni CBM 3 tu hongera zenu Chadema UK.
Ritza huo mchango ulitolewa na watanzania waishio UK sio chadema. na ukiangalia picha utaona viongozi mbali mbali wa CCM UK hadi Naibu balozi alikuwepo kushuhudia, kama mchango huu ungeandaliwa na chadema sizani kama Serengeti wangeweza kusafirisha misaada kwa jinsi ambavyo ingekuwa mingi
 
Hahaha,
Asante kaka, lakini kwa suala zito kama hili imebidi niweke kila kitu bayana ili watu waone waelewe, sikatai mzigo umechelewa sana lakini sio kosa letu ni kosa la hao waliofukuzwa kazi leo na Mwakyembe

Kuna allegations humu hiyo kampuni. Ni ya mpemba sio yako... Wewe umeajiriwa tu..
 
Ritza huo mchango ulitolewa na watanzania waishio UK sio chadema. na ukiangalia picha utaona viongozi mbali mbali wa CCM UK hadi Naibu balozi alikuwepo kushuhudia, kama mchango huu ungeandaliwa na chadema sizani kama Serengeti wangeweza kusafirisha misaada kwa jinsi ambavyo ingekuwa mingi

Mkuu, hesabu za set inaelekea hujafanikiwa kuzifahamu kabisa!!!
 
KWA HABARI YA HAPA CHINI, MBONA SIONI KAMA CHRIS LUKOSI NI MHUSIKA MKUU NAMNA HIYO?

Salam,
Siku ya jumamosi tarehe 7 January 2011 Serengeti Freight wakishirikiana na Miss Jestina Blog pamoja na Urban Pulse walifanya harambee maalum ya kuchangia watanzania walioathirika na mafuriko yaliotokea hivi karibuni mwishoni mwa mwaka jana nyumbani Tanzania.Mgeni rasmi alikuwa Naibu balozi Mh Chabaka Kilumanga. Aidha Mh Balozi aliongea na kushukuru watanzania wote walioguswa na kujitolea kwa hali na mali ili kuweza kusaidia watanzania wenzao waliokumbwa na janga hili. Misaada bado inaendelea kupokelewa na kukusanywa mpaka mwisho wa mwezi huu wa january. Hivyo basi kwa wale wote walioshindwa kuweza kufika siku ya jumamosi kutoa michango bado nafasi ipo. Kumbuka hili ni janga letu wote tafadhali fanya sehemu yako kwa jinsi Mungu anavyokubariki.KWA MAWASILIANO ZAIDI KUHUSU MISAADA WASILIANA NAJESTINA GEORGE 07404332910FRANK EYEMBE 07865594576BARAKA NYAMA 07816981577KAMA UNA MCHANGO UNAWEZA KUDEPOSIT KATIKA ACCOUNT IFUATAYO:BARCLAYS BANKJINA: TANZANIA ASSOCIATION LONDON Account Number: 23374815Sort Code: 20-72-89ANDIKA JINA LAKO NA MAFURIKO AS REFERENCETUNAWASHUKURU NYOTE KWA KUJALI NDUGU ZETUContact us for more info;CHRIS LUKOSI 07903828119SIMON LOUIS (MOHSIN) 07950689243BRIAN (BABA NJOROGE) 07795160757HASSAN (RICHARD) 07405159255HQ - UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRHemail: info@serengetifreight.co.uk or serengetifreight@yahoo.co.ukTell (+44) 01375 855917 Fax (+44) 01708202477www.serengetifreight.co.uKAsanteni sana kwa kuonesha moyo wa Kiuzalendo.MUNGU AWABARIKI,Serengeti Freight, Miss Jestina Blog na Urban Pulse
 
TANGAZO KWA WADAU WAISHIO UK LA HARAMBEE KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO TANZANIA...!!! - JESTINA GEORGE
Bwana chris Lukosi mwanasiasa mahiri wa Chadema ambaye hata katiba ya chadema haifahamu.amekuja na gea mpya ya kukusanya Fedha za watanzania walioko Uingereza ili ziwe kwa ajili ya Vifo.

lukosi mapema mwaka huu alitangaza harambee kwa watanzania ya kukusanya vifaa na pesa nyingi tu kwa ajili ya wahanga wa mafuriko ya jangwani. hadi sasa MWAKA unakatika hajakabishi pesa wala vifaa mbali mbali alivyokusanya.anatutia mashaka makubwa.

chadema wamekosa mtu kiasi cha kuota misheni town wa uingereza kuongoza chama chao?
Watanzania mnaotaka kuibiwa tena kwa mgongo wa vifo ulizeni kwanza uadilifu wa bwana chris.atueleze fedha na mizigo ile amepeleka wapi?
Wivu wa kike na bado mtayooka tu!Olympic2012??
 
Back
Top Bottom