Kumbe serikali kupitia jeshi la polisi waliwazuia CHADEMA kama chama kuingia Katesh - Hanang kufariji wahanga wa maafa na kutoa misaada?

The Palm Beach

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
805
1,647
Anaandika Malisa G.J toka FB page yake

Baada ya msafara wa Mbowe kuzuiwa na jeshi la polisi kwenda wilayani Hanan'g kwenye eneo lililokumbwa na maafa, Mbowe alilaumu kitendo hicho kuwa si cha kiiungwana na kinawagawa watanzania kwani wahanga wa Hanan'g wanahitaji faraja ya watu wote.

Mbowe alitaka kuahirisha ziara yake, lakini viongozi waandamizi wa Serikali, na viongozi waandamizi wa vyombo vya ulinzi na usalama walimpigia na kumsihi asikatishe ziara hiyo. Viongozi hao walimjulisha RPC Manyara kuwa serikali imefuta maagizo yake na kwamba viongozi wa Chadema waruhusiwe kwenda Hanan'g.

Baada ya kuondolewa kwa zuio hilo batili na la "kipumbavu" la Polisi, hatimaye Mbowe na msafara wake wamefika Hanan'g na kutembelea Kata za Katesh, Ganana na Jorodom ambazo zimeathirika zaidi na maafa hayo. Viongozi hao wametembelea baadhi ya kaya na kutoa pole pamoja na kukabidhi misaada mbalimbali ya kibinadamu.

Mhe.Mbowe amesema, "...Tulikusudia kusitisha ziara yetu lakini viongozi kadhaa waandamizi wa Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama wametusihi tusikatishe ziara na wametengua zuio la polisi. Tumetafakari na viongozi wenzangu. Hekima imetuelekeza kuwa wahanga wa maafa ya Hanan'g ni Watanzania wenzetu na wanahitaji faraja ya kila mmoja wetu. Nia yetu njema ya kuwapa faraja haiwezi kuzuiliwa na amri batili ya polisi. Tumekubali kuendelea na ziara kama ilivyopangwa awali..."

NOTE:
Sasa naelewa ni kwanini chawa wa CCM wakiongozwa na Lucas mwashambwa walisambaa mitandaoni kurusha propaganda nyingi kuihusu CHADEMA wakiuliza maswali kama;

"...Nani kawaona CHADEMA wamesema au kwenda Hanang kushiriki faraja na kutoa pole kwa wahanga..."

Kumbe haya majamaa yalishafika polisi Manyara na kumtisha RPC na kisha kumpa order ya kijinga na kipumbavu wawazuie CHADEMA kufanya au kuingia Hanang kulia na kufarijiana na ndugu zao waliofiwa na kuathiriwa na janga la maporomoko...

CCM na chawa wao wana tabia mbaya sana zilizojaa ushetani wakionekana kama binadamu hivi lakini tabia, mwenendo na matendo yao ni mashetani ktk sura za binadamu!!
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu
 
Kila mtu na kila chama cha siasa au taasisi yoyote zishiriki kwa namna yake kufariji na kutoa misaada kwa waathirika wa janga hili.

Na watu binafsi, vyama vya siasa, taasisi binafsi na za kidini kufanya hivi kamwe isitafsiriwe kuwa ni kui - undermine serikali kwa sababu hili linaeleweka fika kuwa, yenyewe (serikali) ndiyo yenye jukumu kuu la kufariji na kutunza watu wake waliopatwa na maafa haya..

Lakini inashangaza sana kuona kuwa, Kuna watu binafsi au taasisi na mashirika binafsi au ya umma yanataka kuiunga mkono serikali, lakini serikali hii chini ya CCM wanaweka vikwazo vya kipuuzi na kijinga Kwa sababu za kisiasa katikati ya maumivu na msiba wa watu...

Kinachoshangaza zaidi ni Kila mtu kujiuliza swali ni kwanini serikali na CCM wanaiogopa sana CHADEMA kiasi kwamba hata kivuli au kitendo cha CHADEMA kukohoa kidogo tu, basi viongozi wa serikali na CCM kwa ujumla wao huingiwa hofu na kutetemeka na kama njia ya kujilinda (defend themselves), basi hufikia hatua ya kufanya maamuzi ya kijinga, ya aibu na ya kipumbavu kabisa kama hili la Manyara (iwapo ni kweli ilitokea)

Lucas mwashambwa na chawa wenzako huko, umeona hii? Umeelewa au umelewa tayari?

ACHENI WOGA WA KIJINGA. KAMA CCM YENU IMEFANYA MEMA, MTAPENDWA TU NA WANANCHI Lakini kama mko desperate kutumia nguvu kubwa kiasi hiki mpaka mnaharibu mkijitetea, basi ni ushahidi kuwa wananchi hawaoni chochote na hawaridhishwi na mlichokifanya Kwa miaka zaidi ya 60 tangu mwaka 1961!!
 
Anaandika Malisa G.J toka FB page yake

Baada ya msafara wa Mbowe kuzuiwa na jeshi la polisi kwenda wilayani Hanan'g kwenye eneo lililokumbwa na maafa, Mbowe alilaumu kitendo hicho kuwa si cha kiiungwana na kinawagawa watanzania kwani wahanga wa Hanan'g wanahitaji faraja ya watu wote.

Mbowe alitaka kuahirisha ziara yake, lakini viongozi waandamizi wa Serikali, na viongozi waandamizi wa vyombo vya ulinzi na usalama walimpigia na kumsihi asikatishe ziara hiyo. Viongozi hao walimjulisha RPC Manyara kuwa serikali imefuta maagizo yake na kwamba viongozi wa Chadema waruhusiwe kwenda Hanan'g.

Baada ya kuondolewa kwa zuio hilo batili na la "kipumbavu" la Polisi, hatimaye Mbowe na msafara wake wamefika Hanan'g na kutembelea Kata za Katesh, Ganana na Jorodom ambazo zimeathirika zaidi na maafa hayo. Viongozi hao wametembelea baadhi ya kaya na kutoa pole pamoja na kukabidhi misaada mbalimbali ya kibinadamu.

Mhe.Mbowe amesema, "...Tulikusudia kusitisha ziara yetu lakini viongozi kadhaa waandamizi wa Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama wametusihi tusikatishe ziara na wametengua zuio la polisi. Tumetafakari na viongozi wenzangu. Hekima imetuelekeza kuwa wahanga wa maafa ya Hanan'g ni Watanzania wenzetu na wanahitaji faraja ya kila mmoja wetu. Nia yetu njema ya kuwapa faraja haiwezi kuzuiliwa na amri batili ya polisi. Tumekubali kuendelea na ziara kama ilivyopangwa awali..."

NOTE:
Sasa naelewa ni kwanini chawa wa CCM wakiongozwa na Lucas mwashambwa walisambaa mitandaoni kurusha propaganda nyingi kuihusu CHADEMA wakiuliza maswali kama;

"...Nani kawaona CHADEMA wamesema au kwenda Hanang kushiriki faraja na kutoa pole kwa wahanga..."

Kumbe haya majamaa yalishafika polisi Manyara na kumtisha RPC na kisha kumpa order ya kijinga na kipumbavu wawazuie CHADEMA kufanya au kuingia Hanang kulia na kufarijiana na ndugu zao waliofiwa na kuathiriwa na janga la maporomoko...

CCM na chawa wao wana tabia mbaya sana zilizojaa ushetani wakionekana kama binadamu hivi lakini tabia, mwenendo na matendo yao ni mashetani ktk sura za binadamu!!
Kuwazuia viongozi wa Chadema kushiriki kuwapa mkono wa faraja wahanga wa mafuriko uko Hanang ni doa kubwa sana kwa Serikali ya Samia. Sina hakika kama Samia mwenyewe alikuwa akilifahamu hili. Ni wapuuzi waomzunguka wenye kuendekeza siasa za chuki hadi kwenye maafa na nina hakika watamgharimu kadili siku zinavyosogea.

Watu wenye hulka za Lucas Mwashabwa ni wa kupuuza maana kwa sasa wanatumika vibaya, kwao wao taifa si kipao mbele bali posho na ahadi za kuteuliwa vina nafasi kubwa. Ni watu wasiofikiri kwa akili zao wenyewe. Ni aina ya kina Cypirian Musiba..
 
Anaandika Malisa G.J toka FB page yake

Baada ya msafara wa Mbowe kuzuiwa na jeshi la polisi kwenda wilayani Hanan'g kwenye eneo lililokumbwa na maafa, Mbowe alilaumu kitendo hicho kuwa si cha kiiungwana na kinawagawa watanzania kwani wahanga wa Hanan'g wanahitaji faraja ya watu wote.

Mbowe alitaka kuahirisha ziara yake, lakini viongozi waandamizi wa Serikali, na viongozi waandamizi wa vyombo vya ulinzi na usalama walimpigia na kumsihi asikatishe ziara hiyo. Viongozi hao walimjulisha RPC Manyara kuwa serikali imefuta maagizo yake na kwamba viongozi wa Chadema waruhusiwe kwenda Hanan'g.

Baada ya kuondolewa kwa zuio hilo batili na la "kipumbavu" la Polisi, hatimaye Mbowe na msafara wake wamefika Hanan'g na kutembelea Kata za Katesh, Ganana na Jorodom ambazo zimeathirika zaidi na maafa hayo. Viongozi hao wametembelea baadhi ya kaya na kutoa pole pamoja na kukabidhi misaada mbalimbali ya kibinadamu.

Mhe.Mbowe amesema, "...Tulikusudia kusitisha ziara yetu lakini viongozi kadhaa waandamizi wa Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama wametusihi tusikatishe ziara na wametengua zuio la polisi. Tumetafakari na viongozi wenzangu. Hekima imetuelekeza kuwa wahanga wa maafa ya Hanan'g ni Watanzania wenzetu na wanahitaji faraja ya kila mmoja wetu. Nia yetu njema ya kuwapa faraja haiwezi kuzuiliwa na amri batili ya polisi. Tumekubali kuendelea na ziara kama ilivyopangwa awali..."

NOTE:
Sasa naelewa ni kwanini chawa wa CCM wakiongozwa na Lucas mwashambwa walisambaa mitandaoni kurusha propaganda nyingi kuihusu CHADEMA wakiuliza maswali kama;

"...Nani kawaona CHADEMA wamesema au kwenda Hanang kushiriki faraja na kutoa pole kwa wahanga..."

Kumbe haya majamaa yalishafika polisi Manyara na kumtisha RPC na kisha kumpa order ya kijinga na kipumbavu wawazuie CHADEMA kufanya au kuingia Hanang kulia na kufarijiana na ndugu zao waliofiwa na kuathiriwa na janga la maporomoko...

CCM na chawa wao wana tabia mbaya sana zilizojaa ushetani wakionekana kama binadamu hivi lakini tabia, mwenendo na matendo yao ni mashetani ktk sura za binadamu!!
Mungu ibariki Chadema
 
Kwa hili siwalaumu CCM.
POLISI HASA MARPC NI MABOGASI YASIYOJIELEWA YANASIMAMIA NINI.
 
Kila mtu na kila chama cha siasa au taasisi yoyote zishiriki kwa namna yake kufariji na kutoa misaada kwa waathirika wa janga hili.

Na watu binafsi, vyama vya siasa, taasisi binafsi na za kidini kufanya hivi kamwe isitafsiriwe kuwa ni kui - undermine serikali kwa sababu hili linaeleweka fika kuwa, yenyewe (serikali) ndiyo muhusika mkuu wa kufariji na kutunza watu wake.

Inashangaza sana kuona kuwa serikali na CCM wanaiogopa sana CHADEMA kiasi kwamba hata kivuli au kitendo cha CHADEMA kukohoa kidogo tu, basi viongozi wa serikali na CCM kwa ujumla huanza kutetemeka na kama njia ya kujilinda (defend themselves), basi hufikia hatua ya kufanya maamuzi ya kijinga, ya aibu na ya kipumbavu kabisa kama hili la Manyara (iwapo ni kweli ilitokea)

Lucas mwashambwa na chawa wenzako huko, umeona hii? Umeelewa au umelewa tayari?

ACHENI WOGA WA KIJINGA. KAMA CCM YENU IMEFANYA MEMA, MTAPENDWA TU NA WANANCHI Lakini kama mko desperate kutumia nguvu kubwa kiasi hiki mpaka mnaharibu mkijitetea, basi ni ushahidi kuwa wananchi hawaoni chochote na hawaridhishwi na mlichokifanya Kwa miaka zaidi ya 60 tangu mwaka 1961!!
Lucas Mwashambwa hana kiwango cha akili cha kukuelewa.
 
Tukio la maafa limegeuzwa kuwa siasa, nchi ngumu sana hii.
Screenshot_20231206-021924.png

Unajiuliza hizo bendera za kijani ni walikuwa wanachama wa ccm??
 
Tukio la maafa limegeuzwa kuwa siasa, nchi ngumu sana hii.
Yaani ni masikitiko makubwa sana. Matatizo ya wenzako tena yakiambatana na vifo vya Watu wewe unageuza kuwa mtaji wako wa kisiasa.

Hizi ndizo siasa tunazoziita za maji taka zinazoendeshwa na Wahuni wa CCM. Wakumbuke tu kwamba msiba huwa hauna mwenyewe. Huyu anaezuia wenzake leo kwenda kuwafariji wafiwa kesho msiba unaweza kuwa kwake.
 
Shida na tatizo la CHADEMA ni ulalamishi tu kwa kila jambo na kwamba wanaonewa kwa kila kitu.hata wakikiuka sheria au taratibu au ukiwaeleza na kuwaelekeza kuwa hiki hakipaswi kufanyika kwa sasa au subiri hiki ndipo nanyi mfanye hiki mnachotaka inakuwa ngumu sana kwa CHADEMA kuelewa kwa urahisi.maana walishajiweka katika mazingira ya kutaka kuonekana kuwa wanaonewa kwa kila kitu na kwamba wanahitaji huruma na kuhurumiwa muda wote utafikiri wahanga. Siasa siyo lelemama . Inahitaji akili,maarifa ,mipango, mikakati,mbinu na kujipanga .na siyo kujiendea endea tu kama makondoo .

CHADEMA bado kichanga sana kwa kila kitu.uwezo wake unarudi nyuma kila siku.ukiichukua CHADEMA ya leo ya akina mnyika na lema wake ni dhaifu sana kwa kila kitu na ile CHADEMA ya akina Dr Slaa ya mwaka 2010-2015. CHADEMA ya sasa imekosa ushawishi na mvuto kwa watu.ndio maana haina nguvu ya kuwashawishi watanzania kufanya jambo lolote lile na likafanikiwa. Watanzania hawana imani na CHADEMA kwa sasa.kwa sababu wanafahamu kuwa inaweza kubadili gia wakati wowote ule. Hayupo walijitoa mhanga kwa ajili ya CHADEMA kwa kuwa anajuwa hakuna mzalendo ndani ya chama zaidi ya Usaka Tonge tu.

Jiulize CHADEMA iliyokuwa inamuita mh Lowassa fisadi kwa miaka takribani nane lakini ilimkaribisha ndani ya wiki moja na kumpa nafasi ya kugombea urais .na kusema mwenye anasema Lowassa ni fisadi aende mahakamani au kwanini hajampeleka mahakamani.sasa katika hali kama hii ni nani mwenye akili Timamu anayeweza kuwaamini CHADEMA na kuwaunga mkono? Ni nani anayeweza kuwapigania Chadema kwa jasho na damu wakati anajuwa kesho atatelekezwa? Ni nani atakuwa na ujasiri wa kukemea mtu fulani wakati anajuwa kesho mwenyekiti anaweza waletea kwenye chama na kuwaambia ndiye mgombea na wote inatakiwa waimbe kuwa mabadiliko yataletwa na huyo mtu kama ilivyokuwa kwa mh Lowassa?
 
Back
Top Bottom