Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, Mzee Maganda ametoweka, haijulikani aliko

Wanachama wa chama cha mapinduzi,wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya,siku ya 5 Sasa haonekani.

Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
Wanamtafuta ofsini au Nyumbani kwake.

Kuna Diwani Kawe alifichwa kwa Ashura Tabata.

Ndio zao hizo.

Kashapiga mpunga hapo
 
Back
Top Bottom