Mambo ya hovyo snHili la kugawa bure bandari zote za Tanganyika ni hatari zaidi
Rudisheni kaa la moto la Bandari bungeni wamalizane nalo!!!Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 17 Agosti 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
View attachment 2720012
View attachment 2720014
View attachment 2720015
Asante kwa taarifa, ila hili la vikao vya chama chetu CCM, kuendeshewa kwenye Ikulu yetu, japo hakuna kosa lolote wala hakuna sheria yoyote iliyovunjwa, lakini halijakaa vizuri, it has something to do with morality, kwenye hili, tutamshauri Mama.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 17 Agosti 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
View attachment 2720012
View attachment 2720014
View attachment 2720015
Ni heri katika majadiliano yao wapate kutambua kuwa pumba ni zipi, na pia unga ni upi. Kuzidi kung'ang'ania mkataba wa DPW, hakika litakuwa ni anguko lao kubwa.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 17 Agosti 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
View attachment 2720012
View attachment 2720014
View attachment 2720015
Hata wakifanya vikao mara 100 vitabadilisha niniMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 17 Agosti 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
View attachment 2720012
View attachment 2720014
View attachment 2720015
Kwa sasa tuko bize na bandari kwanza. Hayo ya katiba kwa si muhimu kiviiiiiile...Mwambieni Mama Maridhiano na mchakato wa KATIBA MPYA unaenda slow sana sana WHY?
Wewe ndezi unajibu kama nani?Kwa sasa tuko bize na bandari kwanza. Hayo ya katiba kwa si muhimu kiviiiiiile...
Asante kwa taarifa, ila hili la vikao vya chama chetu CCM, kuendeshewa kwenye Ikulu yetu, japo hakuna kosa lolote wala hakuna sheria yoyote iliyovunjwa, lakini halijakaa vizuri, it has something to do with morality, kwenye hili, tutamshauri Mama.
Hata JPM alianza hivi hivi, tukamshauri na akapokea ushauri wetu Pongezi Dkt. Magufuli kutenganisha shughuli za Chama na Serikali, Utabarikiwa na Tanzania itabarikiwa!
P
Wamerikologa lazima walinywe. Cheki walivyoinamiana wanaona hadi aibuMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 17 Agosti 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
View attachment 2720012
View attachment 2720014
View attachment 2720015