Mwenyekiti Mmakonde anapotoa salamu za Mwenge

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,596
1,071
Mwenge ulipofika kijiiji cha Chamakinchanga Mtwara ikawa hivi.

Mkuu wa Msafara: Sasa tunamkaribisha Mwenyekiti wa kijiji Ndugu Nachinunku apande jukwaani kutoa salamu za mwenge.

Mwenyekiti: Hapo Mwenyekiti akapanda jukwaani akapewa kipaza sauti na kusema: Chikamoo Mwenge!





Mungu ni mwema sana.
 
Mi chacha nachema ni njomba nchumari, ntu atakula nchale chacha ivi
 
Kulikuwa kuna mabishano ya idadi ya watu ndani ya basi, mtu mmoja akasema humu ndani ya basi kuna watu watano na mmakonde mmoja, Mmakonde akajibu; Kwani mmakonde chi n'tu? Kama chi n'tu bachi nzigo na kama nzigo chilipi nauli!
 
kuna wamakonde walileta fujo club
ikabidi kumtambua mmoja baada ya mwingine watu wakakaa mlangoni kila anaepita anaoneshwa kitu akitaje
mmakonde wakwanza akaoneshwa sigara sport akasema chipoti wa pili akaoneshwa sm akasema echiem wa tatu akaoneshwa sporko akasema shipoku wamwisho msumar akasema nchumar hatimaye wote wakakamatwa!
 
Back
Top Bottom