Mwenye tatizo la laptop battery

alikhalef

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
717
74
Mwenye tatizo la laptop battery anione. Tuna new battery model nyingi sana. Tunasafirisha mkoa wowote. Sms 0779420000
 
Toshiba model name ,satelite A200-1N2,model number PSAE3E -03901KAR unayo na kiasi ganIunauza ?
 
Mwenye tatizo la laptop battery anione. Tuna new battery model nyingi sana. Tunasafirisha mkoa wowote. Sms 0779420000

mdau Laptop yangu ni Toshiba,kwanza ilikua inasumbua adaptor,then betri,ni kwamba napoweka chaji, inanambia zile asilimia za chaji kama kawaida ila inasema not charging
mfano now inasoma 67% available,plugged in,not charging,na nimenunua betri nyingi tatizo bado,
some tym chaj inaisha kabisaa,na laptop inakua kama T.v yaani ukitoa plug inazimika,tatizo ni nini???????????
 
Natumia pc from Germany inaitwa yakumo battery yake n ndefu muundo wa bettry mbili za kawaida zilizoungwa pamoja,utakuwa nayo kwa bei gani?
 
Back
Top Bottom