tandabui2021
JF-Expert Member
- Nov 5, 2021
- 3,120
- 5,375
Kataa,akigoma mfungulie kesi
Akurudishie pesa iliyobaki usepe,atakulambishaje vitu huvijui!?Habarini ndugu wanaJF,
Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake.
Binafsi nilikataa kulamba vitu visivyoeleweka na sina hizo imani, ila alinichimba mkwala hadi jtano nimpe jibu nikishindwa nihame kwake.
Dhumuni la kuleta hili jambo kwenu mnipe ushauri wa kufanya sababu alinipa siku tatu ambayo ya mwisho ndio leo na hapa nipo job nafikiria nikirudi home nimpe jibu gani.
Kwa kuongezea tumebaki wapangaji wawili ambao tumekataa kulamba hayo madude yake.
Je, yana madhara yoyote kiafya wataalam wa mambo?
Kuna mama alilamba akalewa akasema yeye ndio mchawi kaua mwanae
mie siwezi nyumba za hivyoNyumba za kila siku vikao..mmejazana koridoni hahaaa
Yaniii ni tabu sana. Hahhahaamie siwezi nyumba za hivyo
Toa taarifa kwa mwenyekiti wa mtaa halafu polisi. Hawezi kukufukuza kirahisi.Habarini ndugu wanaJF,
Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake.
Binafsi nilikataa kulamba vitu visivyoeleweka na sina hizo imani, ila alinichimba mkwala hadi jtano nimpe jibu nikishindwa nihame kwake.
Dhumuni la kuleta hili jambo kwenu mnipe ushauri wa kufanya sababu alinipa siku tatu ambayo ya mwisho ndio leo na hapa nipo job nafikiria nikirudi home nimpe jibu gani.
Kwa kuongezea tumebaki wapangaji wawili ambao tumekataa kulamba hayo madude yake.
Je, yana madhara yoyote kiafya wataalam wa mambo?
Dah! Balaa hiiHabarini ndugu wanaJF,

Kama unatoka, si atakurudishia kodi? Utahangaika kupata sehemu nyingine, ila hutashiriki uchawi wake. Haya mambo yafaa yapigwe marufuku Tz.Habarini ndugu wanaJF,
Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake.
Binafsi nilikataa kulamba vitu visivyoeleweka na sina hizo imani, ila alinichimba mkwala hadi jtano nimpe jibu nikishindwa nihame kwake.
Dhumuni la kuleta hili jambo kwenu mnipe ushauri wa kufanya sababu alinipa siku tatu ambayo ya mwisho ndio leo na hapa nipo job nafikiria nikirudi home nimpe jibu gani.
Kwa kuongezea tumebaki wapangaji wawili ambao tumekataa kulamba hayo madude yake.
Je, yana madhara yoyote kiafya wataalam wa mambo?
Umesoma nilicho jb lkn? Wapi nimesema alambe unga!?Madam kuoga uchi, kumwaga dawa sisi haituhusu kama nyumba YAKO, tunachokataa ni KULAMBA UNGA. Chuo tulikaa na mmama huyo mwenye nyumba yule mama hata awaone mnafanya mapenzi uwani hawasemeshi ILA kodi YAKe ikifika msitafutane😑😑 tunakaataa KULAMBA UNGA