Hamna noma mkuu.Sijapata mkuu nichekie basi
Nimempigia ananipa jibu soon. Kama itakuwepo nitakutumia namba yake mkuu.Sijapata mkuu nichekie basi
Boss, ipo lakini moja ipo Dsm na nyingine ipo Geita!Nataftuta gari tajwa hapo juu iwe katika hali ya kuridhisha bila technical faults. Namba iwe B au C kama unayo naoma share namimi humu unipe bei kisha tutawasiliana.
Ikikupendeza naomba unicheki PM tuzungumzeNataftuta gari tajwa hapo juu iwe katika hali ya kuridhisha bila technical faults. Namba iwe B au C kama unayo naoma share namimi humu unipe bei kisha tutawasiliana.
Yule jamaa chenga hakunipa jibu tena mkuu. Nadhani hakufanikiwa kupata.S
awa naku PM
Hamna noma mkuu. Ngoja nitafute..Aisee ayupo serious ntafie corrola namba B
Nimepiga simu mkuu, kesho asubuhi tutapata jibu..Aisee ayupo serious ntafie corrola namba B
Be blessed. Kesho nitakupa mlishonyuma a.k.a feedback. Nina jamaa yangu anayo namba C imenyooka. Kaiweka tu ndani anatumia Xtrail ya 2018Asante sana mkuu