Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
- Thread starter
- #61
Wandugu kuna tofauti kati ya Infosys na Infotech. Jengo la Infosys (Infosys house) lipo kinondoni nyuma ya Makao makuu ya Stanbic Bank, Ni jengo nzuri sana, part of it, imekodishwa na NBC kitengo cha Corporate. Binafsi nimeifahamu Infosys tangu mwaka 2000 wakiwa jengo lililopo nyuma ya Steers along Samora Evenue.
Mawe 3 ndiye managing partner wa Infosys. Ni mchapakazi hodari na hana mzaha kwenye kazi. Kwanza nawapa hongera Infosys kwa mafanikio yao kibiashara. Kama mnavyojua kampuni nyingi kubwa za IT hapa bongo zinamilikiwa na wahindi. Wahindi wanachojua ni kuuza tuu, after sales support is zero!!, wanashinda tenda sababu wanauza kwa bei rahisi then ukipata matatizo hawajali.
Nafahamu matatizo yapo Infosys lakini ni ya kawaida na hatuna budi kuwaunga mkono.
Wahindi? Wabongo?
Sasa hayo yanatoka wapi? Acha ukabila. U-rangi.
Yaani kujiengue kwa director aliyetoa mchongo wa kampuni ya mawe ma3 kuwa agent wa DELL ni suala la kawaida? Tena kwa sababu ya huyu huyu mawe ma3? wewe vipi? unaijua kampuni ya mawe ma3 kwa nje? kwa kuangalia majengo? ukiwa unakunywa juice pale chini. basi. ndani hujui. nyamaza. tuongee tuliowahi kuingia ndani ya kampuni ya mawe ma3.