Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
- Thread starter
- #41
Acha chuki binafsi ndugu lete data kumdiscredit badala kulazimisha JK akusikilize au mzee unampigia debe mtu wako nini ashike nafasi yake?
ninapigania haki. wapo watu walipaswa kupewa hiyo wizara. siyo mawe ma3.
data nilizonazo ndiyo hizo. huu ni ushuhuda.
ushuhuda huwa hauhusishi makaratasi wala mihuri.
ni mtu kuzungumza kweli kama kweli ya Mungu.
Hivyo ndivyo ninavyomfahamu huyu kiumbe anayeitwa mawe ma3.
Aliyemshinda kura za maoni alizidiwa dau tu. nasikitika kwanini hakuenguliwa na NEC kama alivyofanyiwa mwakalebela.
watu wa jimboni kwake hawampendi. wanapenda pesa zake. sasa itakula kwao. 5 years.