Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,955
Huyu jamaa ni full majungu na ni fisadi kiaina.
Kada wa CCM. Mtumishi wa Benki Kuu. Amevuruga kampuni waliyoanzisha watu wanne kiasi kwamba sasa ina hali mbaya. Wahindi wameipiga bao. Kupewa Wizara ni njia ya kumsaidia kurudisha pesa yake aliyofilisi kampuni aliyobuni na wenzake. Wala siyo muadilifu kama tulivyopotoshwa na JK. Ana lake jambo.
Pia ni swahiba wa Pombe (J. Magufuli).
Haiwezekani kuingia tu bungeni na kuwa Naibu Waziri. Kwani yeye nani?
Naomba CV yake.
(Udini nimepumzika kwanza.Nina deal na Mkristu mwenzangu Kitwanga. Maana mods wanaondoa kila uzi ninao-post hata kama una maslahi kwa Taifa. Wanaacha Malaria Sugu na nyuzi zake za kizushi anatamba. Poa tu. Sijui hii ikoje?)
kama usingekuwa na majungu ungeyaleta haya hapa?