Mwenge ukiwashwa mbele ya wafanyakazi wa serikali na wanafunzi tu, maana yake nini?

Heri ya hao wanaomkumbuka Nyerere na kumuenzi kuliko wale wa Arusha wakimsikiliza jamaa Le Totoz aliyevaa nepi akilia lia kuwa kila mtu na lwake

Yamkini wewe ni miongoni mwa mafisadi mnaotafuna hela za watanzania maskini ambao wanavuja jasho huku watanzania wanakufa na kulia na hali ngumu ya maisha.
 
Yamkini wewe ni miongoni mwa mafisadi mnaotafuna hela za watanzania maskini ambao wanavuja jasho huku watanzania wanakufa na kulia na hali ngumu ya maisha.
Mkiambiwa mkalime inakuwa nongwa, kazi kujibanza ghetto za mijini wakati wajanja wanachukua ardhi mlikotoka.

Layman kama hapo juu anafikiri kuna mjomba anaitwa serikali kumsomesha bure,kumlisha, kumpa chakula na yeye kupiga domo bila kujiendeleza.
Bahati yako unailalia mlango wazi, wajanja waja.
 
Nakumbuka nikiwa darasa la sita nilikuwa chipukizi wa kukimbiza mwenge 1998 wilayani kwetu Masasi japo nilikuwa mdogo sikuona umuhimu wake zaidi ya kukamilisha formality basi! ushauri huu uwekwe makumbusho!
 
Back
Top Bottom