Hassan J. Mosoka
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 682
- 323
Nchi ilishauzwa nashangaa hawatuwagii shea yetu ili tuwe watumwa halali ndani ya nchi yetu. Mwekezaji kujenga Mahakama ya JMT hahahahahahahahaha, Nape na chama chenu hamuona hata aibu????
wanafikiria vya rahisi rahisi tu. Kwa mtindo huu, hawana tofauti na mateja, wananadi dala dala kwa ujira mdogo kumaliza matatizo yaliyo mbele ya mboni zao.....
yaani mwekezaji hadi kwenye mahakama? It's ludicrous to even entertain such a thought. But that's just me.
Namsikiliza Mh Waziri wa Sheria na Katiba akijenga hoja kuwa kuna mwekezaji anajitolea kujenga mahakama ya rufaa kama atapewa hilo jengo la Mahakama ya Rufaa - iliyokuwa Forodhani Hotel.
Mimi naona hata kama ndivyo haitakuwa sawa kwa mwekezaji kutujengea MAHAKAMA YA RUFAA - THE HIGHEST COURT IN THE COUNTRY.
Ni bora Serikali isihusishe ujenzi huo na mwekezaji hata kama ndio PPP...NASEMA HAPANA!
wazir unafananisha jengo linlotumiwa na court of appeal kama kaburi, that iz illogical and non sense with all due respect
``Kama atapewa hilo jengo`` maana yake nini, atakuwa anawakodisha ofisi za mahakama kwenye jengo lake jipya au wanabadilishana viwanja yeye abomoe hapo ajenge night pub yake wao wahame, au kimesemwa nini hasa? Na huyo anaewajengea bure ni mwekezaji au mfadhili? Apewe jengo hilo ndio nini?Namsikiliza Mh Waziri wa Sheria na Katiba akijenga hoja kuwa kuna mwekezaji anajitolea kujenga mahakama ya rufaa kama atapewa hilo jengo la Mahakama ya Rufaa - iliyokuwa Forodhani Hotel.
Nyani,Yaani mwekezaji hadi kwenye mahakama? It's ludicrous to even entertain such a thought. But that's just me.