Mwekezaji 'kusaidia kujenga Mahakama ya Rufaa' siyo sawa!

Tusker bariiiiidiii nimekuelewa, nadhani nawe umeielewa mada. Maswali ya kujiuliza. Je, serikali ilikuwa na mpango huo siku nyingi? Kama ndio, Je, serikali ina utaratibu gani yaani sheria na Kanuni za kuuza mali zake chakavu? Ninaamini hapo chenye thamani kubwa ni Kiwanja kuliko jengo. Je, ni sawa serikali kupoteza kiwanja hicho? KWA NINI SERIKALI ISITANGAZE MNADA BASI ILI USHINDANI UWEPO NA KUWEZESHA KUPATA BEI KUBWA ZAIDI KULIKO ILIVYO SASA. Kuna kitu hapa ndani yake. Kuna siku ofisi zote za serikali zitakuwa uchochoroni Dar kwa vile hata kuhamia Dom hawataki.
 
suala siyo kuijengea mahakama jengo jipya? Jengo hilo ni national heritage na wameagizwa liondolewe kwenye orodha. Yaani mahakama inavunja sheria kwa manufaa ya tajiri wakati waliapa kuilinda katiba, soma art 27, na limehifadhiwa kwa sheria ya mambo ya kale kwa tangazo la serikali na. 498 la mwaka 1995.
 
Tusker bariiiiidiii nimekuelewa, nadhani nawe umeielewa mada. Maswali ya kujiuliza. Je, serikali ilikuwa na mpango huo siku nyingi? Kama ndio, Je, serikali ina utaratibu gani yaani sheria na Kanuni za kuuza mali zake chakavu? Ninaamini hapo chenye thamani kubwa ni Kiwanja kuliko jengo. Je, ni sawa serikali kupoteza kiwanja hicho? KWA NINI SERIKALI ISITANGAZE MNADA BASI ILI USHINDANI UWEPO NA KUWEZESHA KUPATA BEI KUBWA ZAIDI KULIKO ILIVYO SASA. Kuna kitu hapa ndani yake. Kuna siku ofisi zote za serikali zitakuwa uchochoroni Dar kwa vile hata kuhamia Dom hawataki.

Swali liko hapa, na kwa kukwepa sheria wamepata nini????????????????????????????????
 
Namsikiliza Mh Waziri wa Sheria na Katiba akijenga hoja kuwa kuna mwekezaji anajitolea kujenga mahakama ya rufaa kama atapewa hilo jengo la Mahakama ya Rufaa - iliyokuwa Forodhani Hotel.

Mimi naona hata kama ndivyo haitakuwa sawa kwa mwekezaji kutujengea MAHAKAMA YA RUFAA - THE HIGHEST COURT IN THE COUNTRY.

Ni bora Serikali isihusishe ujenzi huo na mwekezaji hata kama ndio PPP...NASEMA HAPANA!

Huu ni ubazazi. Huwezi kuweka mwekezaji wa kujenga Mahakama, Serikali ijibane ijenge yenyewe. Huu ni udhalilishaji wa Watanzania.
 
Back
Top Bottom