Karibu sana.Mweee! Wajameeeni mwanenu ndo nmejimwaga uwanjani nikaribisheni mweee!
ha ha ha haaah!! Sijui kafanya kosa gani huyu.Mweeeh!
Umelamba ban mweeeh!
ha ha ha haaah!! Sijui kafanya kosa gani huyu.
ndio raha ya jf, mtu ana id's 100! lol! haya bado wakaribishwa!kiriba kipya divai ileile!
kiriba kipya divai ileile!