Muda sio rafiki tena!

Number ni 26

JF-Expert Member
Apr 3, 2019
1,478
2,836
Natamani muda ungerudi nyuma ili niweze kuanza upya, lakini ndo hivyo muda si rafiki tena!

Natamani muda ungerudi nyuma ili niweze kurekebisha makosa yangu, lakini ndo hivyo muda si rafiki tena!

Natamani muda ungerudi nyuma ili niweze kuisikia hii sauti ya sasa ndani yangu, lakini nagundua it's too late to hold it!

Tumia vizuri muda wako sababu ukiupoteza hauwezi kuufidia zaidi ya kulipa gharama za maumivu. Nadhani hawakukosea waliosema, "umasikini" na "utajiri" umetenganishwa na muda katikati.

Nawatakia siku njema wazee wenzangu. Tukumbuke maisha yetu yamefungwa na MUDA
 
Muhimu wanasema ‘’ GRATITUDE IS A MUST” kwa kila jambo hata liwe baya tafuta uzuri ndani ya ubaya halafu USHUKURU Mungu kwenye hilo zuri ndani baya,
That will give you hope and bounce back from challenges, fears, and obstacles.

Na mwisho nafasi ulizochezea zinaweza zisirudi ila amini unaweza kutengeza zingine mpya ukiongeza juhudi
 
Natamani muda ungerudi nyuma ili niweze kuanza upya, lakini ndo hivyo muda si rafiki tena!

Natamani muda ungerudi nyuma ili niweze kurekebisha makosa yangu, lakini ndo hivyo muda si rafiki tena!

Natamani muda ungerudi nyuma ili niweze kuisikia hii sauti ya sasa ndani yangu, lakini nagundua it's too late to hold it!

Tumia vizuri muda wako sababu ukiupoteza hauwezi kuufidia zaidi ya kulipa gharama za maumivu. Nadhani hawakukosea waliosema, "umasikini" na "utajiri" umetenganishwa na muda katikati.

Nawatakia siku njema wazee wenzangu. Tukumbuke maisha yetu yamefungwa na MUDA
furahia kilichopo. hivo vingine si vyako, huweza pata kila kitu
 
Back
Top Bottom