Kufeli katika maisha huenda ikawa ndo mwisho wako wa kufanikiwa tena

nipo online

JF-Expert Member
Sep 10, 2022
202
425
Ukiona umefeli katika maisha juu ya jambo lako unalolifanya huenda ikawa ndo mwisho wako wa kufanikiwa tena au huenda ikawa ndo mwanzo wako wa kutoboa.

Kufeli katika maisha kunategemea sana jinsi utakavyo REACT juu ya jambo hilo. Ni kama mtu kujikwaa jiwe ama kisiki kudondoka chini ama kutodondoka kuko ndani ama juu ya uwezo wako ama nguvu zako.

Ushauri, kuwa makini pale unapoona kuwa umefeli katika mipango yako. Ni wewe tu uporomoke mazima ama uanze planning upya.
 
Back
Top Bottom