Mwanza: Wajumbe wa CCM wapata ajali mbaya, dereva afa papo hapo!

Fikria baba yako naye angekuwa ni miongoni mwa hao waliopata ajali wewe ungefurahi? mbali na tofauti zetu kisiasa lakini hawa watu wa CCM wanabaki kuwa ni binadamu wenzetu wanaohitaji kuheshimiwa utu wao. Utoto mwingi ni kero hata mbele ya mwenyezi Mungu!!

Fikiria kama baba yako akiwa miongoni mwa watakaopata hiyo laana uliyoiapiza hapa ..wewe utafurahi?
 
Mkuu Kigalama, sijawahi fikiria hata siku moja kuwa ccm wanaweza kuwa na utu. Na huwezi kuniaminisha kuwa kuna siku ccm watakuwa na utu.
 
wewe ni nani na kwa nini useme hivyo,? Kuna mtu anafurahia ajali?
Sasa umewaona wanaofurahia ajali? Mtu yeyote asiyewaona CCM kama binadamu wenzake huyo ana hisia za Kifashisti na Kidikteta. Kwani ni Mafashisti na Madikteta ndiyo hufurahia vifo vya wapinzani wao ndiyo maana wakati mwingine wakipata fursa huwaua kwa visingizio vyovyote vile hata kama ni vya kipuuzi!!
 
Mkuu Kigalama, sijawahi fikiria hata siku moja kuwa ccm wanaweza kuwa na utu. Na huwezi kuniaminisha kuwa kuna siku ccm watakuwa na utu.
Tumia busara kidogo tu. Wale waliopata ajali ni binadamu kwanza kabla ya kuwaangalia kwa jicho la U-CCM wao. Hata DK. Slaa alishawahi kuwa mwana CCM, wakati huo alikuwa hana Utu. Na unataka tuamini kuwa kila mwana CCM hana utu ila anakuwa na Utu anapotoka CCM?

Hivi unajua ni wana CCM wangapi wanalea Yatima nao pia hawana Utu?
 
wataalamu wanasema there is no accident within the accident,...halafu kuna watu watamsingizia Mungu eti kamchukua,GOD IS NOT UNJUST AT ALL
 
Madiwani watano hali zao ni mbaya na wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya Bugando ambao ni pamoja na Anthony Swagi wa kata ya Mwagi, Elias noninahle-ogongwa, Fesa Yasin-Ngudu, Shija Lutema - Mwamala, Adela Mayengela, Viti maalum, pamoja na ofisa mmoja wa TAKUKURU Wilaya ya Kwimba aliyetambuliwa kwa jina moja la Jilala, ambaye amevunjika Mguu wa kulia.
Poleni sana majeruhi.R.I.P.dereva
 
Nina ka imani kidogo pungufu ya punje ya haradali,kwahili magamba Poleni sana kwa msiba huu mzito mliopata! Sijui ilikuwa kambi ya mabina au Diallo?
 
Duh Maskini Dereva!! Alikuwa Hata Hausiki na Hili sekeseke!! Any way labda ni Makosa yake ndio yamesababisha Ajali hao magamba wamemlazimisha awahi na yeye badala ya kutumia akili kumkichwa kuendesha gari akatumia Masaburi kama abiria Wake!!
 
Fikiria kama baba yako akiwa miongoni mwa watakaopata hiyo laana uliyoiapiza hapa ..wewe utafurahi?
Kama baba yangu (ingawa si hai) angekuwa anafurahi vifo vya binadamu wenzake eti kwa kuwa tu anatofautiana nao mawazo, LAANA hii lazima imtafune!!
 
Hahahahaha kwikwikwiiiiiiii mungu halipi ubaya ww labda uroge gamba mtoto! Angesha walaani mafisadi!
uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo. Yaani wewe kila mwenye mawazo tofauti na wewe ni "Gamba"? Usiishi maisha ya kukariri. Wapi nimemtaja Mungu, unajuaje labda nataka alaaniwe na Mizimu?
 
Back
Top Bottom