Mwanza: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa kwa kufanya maandalizi ya mkutano wa hadhara

Huku Kinana, Hamdu Shaka na Chongolo wakiendelea na mikutano ya hadhara nchi nzima, leo viongozi wa Chadema huko Mwanza wamekamatwa wakiwa kwenye maandalizi ya Mkutano halali wa hadhara, kwa nia ya kuongea na wanachama wao ambao wanakadiriwa kuzidi zaidi ya nusu ya wakazi wote wa Mwanza.

Miongoni mwa Waliokamatwa yumo Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Nyamagana Mh David Nyakimwe na Mwanachama wa chama hicho ndugu Oswald Mang'ombe.

Katiba ya Tanzania inatoa haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na maandamano bila kikwazo chochote , hawa wanaozuia haki hii ya kikatiba wanatumia katiba gani?

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .

View attachment 2345719
Nimeipenda hiyo, mikutano ni HAKI ya vyama vya siasa kikatiba.

Ameeeen
 
Mikutano ya hadhara haijaruhusiwa
Haijaruhusiwa na nani? Kuna siku utajisaidia ndani ya mavazi yako, halafu utetezi wako utakuwa, hukuruhusiwa kujisaidia.

Haki za kikatiba, hakuna mwenye uwezo wa kuzizuia, labda shetani tu. Maana, kwa imani ya imani nyingi za kidini, shetani ni mchafuzi ambaye hafurahiwa na mwanadamu kuwa katika maisha ya amani.
 
Nilitoka kumwambia mwana chukua chako mapema (ccm) Leo wao kama SII police na Dola hata historian yao ingesha kuwa imefutika kabisa duniani humu na isingepatikana hata makumusho yeyote duniani
Polisi ndio wanaoifanya CCM kuchukiwa sana na wananchi walio wengi wenye akili na wanaipenda haki, na wanalolipenda Taifa lao.

CCM, kila inapotaka kufanya vizuri kiasi, lazima Polisi watie doa.
 
Haijaruhusiwa na nani? Kuna siku utajisaidia ndani ya mavazi yako, halafu utetezi wako utakuwa, hukuruhusiwa kujisaidia.

Haki za kikatiba, hakuna mwenye uwezo wa kuzizuia, labda shetani tu. Maana, kwa imani ya imani nyingi za kidini, shetani ni mchafuzi ambaye hafurahiwa na mwanadamu kuwa katika maisha ya amani.
Kama Katiba inawaruhusu fanyeni
 
Kama Katiba inawaruhusu fanyeni
Ni sahihi. Wanatakiwa kufanya mikutano kwa kufuata utaratibu uliowekwa na katiba. Hawa wanaowakamata watu ambao hawana hatia, ni wahalifu wa Taifa letu. Labda kama wamewakamata kwa sababu nyingine, na siyo maandalizi ya mikutano.
 
Huku Kinana, Hamdu Shaka na Chongolo wakiendelea na mikutano ya hadhara nchi nzima, leo viongozi wa Chadema huko Mwanza wamekamatwa wakiwa kwenye maandalizi ya Mkutano halali wa hadhara, kwa nia ya kuongea na wanachama wao ambao wanakadiriwa kuzidi zaidi ya nusu ya wakazi wote wa Mwanza.

Miongoni mwa Waliokamatwa yumo Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Nyamagana Mh David Nyakimwe na Mwanachama wa chama hicho ndugu Oswald Mang'ombe.

Katiba ya Tanzania inatoa haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na maandamano bila kikwazo chochote , hawa wanaozuia haki hii ya kikatiba wanatumia katiba gani?

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .

View attachment 2345719
Makamu mwenyekiti wa chama anafanya kazi za katibu mkuu ambaye ndiye mtendaji mkuu wa chama maajabu kweli. Ilikuwaje akarejea kwenye uongozi wa chama wakati enzi ya JPM aliombwa aendelee na nafasi ya katibu mkuu yeye akasema anastaafu!!!!
 
Hata Mbowe siyo lazima astaafu 2023 japo alishatangaza
 
Hapa dawa chama ni kuitisha mikutano ya adhara nchi nzima kuanzia kitongoji na ziwe zinafanyika kawa siku MOJA kutokana na tarehe zotakavyokua zinapangwa,Hawa wahuni , hakuna Cha maridhiano Kama ni kutuweka ndani watuweke wote
Hoja yako inafanyiwa kazi
 
Hoja yako inafanyiwa kazi
Hakuna kulala mkuu ,leo UKRAINE wamefika walipo, kufa ,kuacha wajane ,Hama miji n.k kisa tetea haki ya nchi yao japo ni vita, Sasa umefika wakati tz iga waukraine , tufanye mikutano nchi nzima Kama ni Mara nne KWA mwezi sawa ila inakua tarehe MOJA anzia mtaa , kata ,wilaya ,mkoa n.k hatuwezi ruhusu uhuni wa namna hii , kwamba ccm wafanye mikutano ,wengine wasifanye haiwezekani, acha tuwe virema ,tuache familia so far ni KWA mjibu wa katiba , ujinga mtupu
 
Binafsi sipendezwi,sifurahishwi wala kukubali yanayofanywa na chama changu dhidi ya upinzani,siyo dokrasia hiyo.
 
Chama chako sio kwamba kinapenda hii hali ya kushinda kwa mbeleko, bali wanaona aibu kushindwa kwenye uchaguzi. Hivyo inabidi wapore tu.
 
Kiukweli mm kama kijana, inanisikitisha sana hata ninapokuwa ndani ya wahusika mtaani ktk kusahihishana huwa naonekana napinga na a si mwenzao.hali hii haikubaliki na ipo siku watanzania hawatakuwa hivi walivyo leo na kama.
 
Huku Kinana, Hamdu Shaka na Chongolo wakiendelea na mikutano ya hadhara nchi nzima, leo viongozi wa Chadema huko Mwanza wamekamatwa wakiwa kwenye maandalizi ya Mkutano halali wa hadhara, kwa nia ya kuongea na wanachama wao ambao wanakadiriwa kuzidi zaidi ya nusu ya wakazi wote wa Mwanza.

Miongoni mwa Waliokamatwa yumo Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Nyamagana Mh David Nyakimwe na Mwanachama wa chama hicho ndugu Oswald Mang'ombe.

Katiba ya Tanzania inatoa haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na maandamano bila kikwazo chochote , hawa wanaozuia haki hii ya kikatiba wanatumia katiba gani?

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .

View attachment 2345719
Mwanza tuko busy tunapiga kazi hatutaki siasa za ajabu ajabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom