SEAL Team 6
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 655
- 118
Hii kali, kama tumefikia huko udini hadi kwenye mikopo katika mabenki ni hatari tunaomba wabunge walifanyie kazi hili na waliwasilishe Bungeni kwa ufafanuzi zaidi.Viongozi wenyewe ndo wako mstari wa mbele kuchochea udini. Ebu fikiria hili kama sio upendeleo wa kiimani / kidini? Ni taasisi gani ya kibiashara inaweza kutoa mikopo pasipo riba?
Ukipata jibu; kawaulize NBC / KCB ni kwa nini wanatoa mikopo kwa wenye imani fulani bila riba na sharti ni lazima uje na barua ya kiongozi wako wa dini. Kama si viongozi wetu tuliowapa dhamana hiyo kuchochea udini ni nini?
Tangu awamu ya pili ya uongozi wa nchi hii kumekuwa na kampeini ya kudhohofisha dini fulani na ku-promote dini nyingine. Ni hafadhari mfadhili wao amevuna alichopanda huko Libya. HABARI NDO HIYO.