Mwanya, Uzuri wa asili

Mbu kumbe unapenda mwanya, nitakutafuta, sawa eeh!
 
Hahahahaha LOL! Mbu! miye nashangaa sana wanaosema kwamba mwanya ni ukilema. Nimejaribu kuwakumbuka watu ninaowafahamu kwa haraka haraka wake kwa waume waliojaliwa kuwa na mwanya na wote unawapendezesha sana.

...Bobbi Kristina karithi mwanya toka kwa daddy wake, (Bobby Brown)
dynamic_resize

halafu kuna kina Lawrence Fishbourne, na hata mzee Mzima David Letterman.
Cheki supa-Model Bobbi Brown ulivyompendeza

Mbu kumbe unapenda mwanya, nitakutafuta, sawa eeh!

...Wow, LD nawe una mwanya nini?...Precious!
 
...Ya kaizer tumuachie kaizeri tu, lol! Eti heartbreaker...bro wenye mwanya mashaallahu. Bana

ni kweli kaka but it goes without saying kwamba wengi wao, ama kwa kujua au kutokujua, wanaishia kuwa maheart breaker kwa sana tu..sasa mi bado umri wangu hauniruhusu kujipa presha zisizokuwa na msingi
 
Nishaziba sikujua kama ni dili hivi lol? mambo ya kuiga nje kumbe wangosha wetu hapa wanapenda nitaenda kwa dentist niulize kama unaweza kurudi lol
 
Mbu mzee mwenzangu mambo yamebadilika wanawake wenye mwanya siku hizi wanaenda kwa dentist kupaziba niliwahi toka na wa hivyo na nikakubali akawa mrembo zaidi baada ya kuziba mwanya.
 
uporoto nafikiri ni kule tu kusikia maneno ya watu kuwa ukiwa na mwanya ni ukilema lakini i can tell you mwanamke mwenyewe mwanya anapendeza sana
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
mambo ya mianya....ni ma heart breaker tu...
Hii mpya!'Heartbreak inaletwa na mwanya au?

Kumbukeni kila mtu ana test yake, kuna wenye kupenda na kuna wasiopenda.Wasiopenda wasilazimishe kuponda, na wanaopenda basi ni hiari na haki yenu.

Mwisho wa siku umbile ni majaaliwa.Penda ulivyoumbwa na ukiona mwenzio kaumbwa tofauti na matarajio yako basi mshukuru muumba wako.
 
Thanks we are on the same page
 
Watu wenye mwanya wana tabia ya kukenua muda wote knowing people admire what they have. Nilikuwa na class mate wangu ana meno marefu (njino) na bonge la mwanya, basi anakenua huyo hata bila kucheka (kama wachekavyo wazungu kinafiki)
 
...Bobbi Kristina karithi mwanya toka kwa daddy wake, (Bobby Brown)
dynamic_resize

halafu kuna kina Lawrence Fishbourne, na hata mzee Mzima David Letterman.
Cheki supa-Model Bobbi Brown ulivyompendeza

...Wow, LD nawe una mwanya nini?...Precious!

Mashallah!!
Wanapendeza na kama kuna anayebisha aseme! Ni bora mwanya ambao ni natural phenomenon kuliko meno yaliyopandiana au kuoteana na kubanana bila mpangilio.Hayo ndio yanafaa kuyatafuatia ufumbuzi.

Mbu mzee mwenzangu mambo yamebadilika wanawake wenye mwanya siku hizi wanaenda kwa dentist kupaziba niliwahi toka na wa hivyo na nikakubali akawa mrembo zaidi baada ya kuziba mwanya.

Mambo yamebadilika ndugu, sasa hivi Ulaya huko watu wanatafutana kupata mwanya.Google utaona mapinduzi haya.
Miaka ya nyuma kidogo nilijionea maajabu mengine katika watu kutafuta urembo.Afrika kusini hasa kwa wale waliochanganyika ( point 5s) walikuwa wanang'oa meno MANNE YA JUU ya mbele wanaacha canines/VAMPIRE TEETH na kuendelea.Mwanzoni nilivyoona nilidhani mtu kapata ajali! Wengi walikuwa vijana kati ya miaka 14- 25!Nilipoona idadi ni kubwa mno nikauliza inakuwaje? JiBU nililopata ni kuwa "wanaong'oa meno ya mbele ya juu wana kiss vizuri na kufurahia kissing zaidi"! MAAJABU!

uporoto nafikiri ni kule tu kusikia maneno ya watu kuwa ukiwa na mwanya ni ukilema lakini i can tell you mwanamke mwenyewe mwanya anapendeza sana

kWELI.Na huo ukilema ni definition ya nani?au standard ya nani?
 
Haha jamani mbona mwanichekesha; sisi kwetu mwanya ni trade mark; bibi yangu mzaa mama alikuwa na mwanya mdogo san, alipozaliwa mama yangu mwanya ukaongezeka maradufu. Akatuzaa watoto 7, wavulana 5 na wasichana 2 wote mwanya kwa kwenda mbele wakatii baba hana mwanya. Mimi nikaolewa na mwanaume asiiye na mwanya, watoto wangu wote wawili kike/kiume mwanya wa nguvu.

Ninachotaka kusema sijaona huu mwanya umetufanyia nini. Hata kwenye usichana wangu sikuwahi kutongozwa mtu akasifia mwanya wangu walinipenda tu kwa sababu wananipenda ila mwanya haukuwa subject ya kupendwa.

Nafikiri kila mtu ana upeo wake kuhusu mwanya au hao waliousifia kwa ndani wanaweza kutusaidia.
 
Mashallah!!
Wanapendeza na kama kuna anayebisha aseme! Ni bora mwanya ambao ni natural phenomenon kuliko meno yaliyopandiana au kuoteana na kubanana bila mpangilio.Hayo ndio yanafaa kuyatafuatia ufumbuzi.

Mambo yamebadilika ndugu, sasa hivi Ulaya huko watu wanatafutana kupata mwanya.Google utaona mapinduzi haya.
Miaka ya nyuma kidogo nilijionea maajabu mengine katika watu kutafuta urembo.Afrika kusini hasa kwa wale waliochanganyika ( point 5s) walikuwa wanang'oa meno MANNE YA JUU ya mbele wanaacha canines/VAMPIRE TEETH na kuendelea.Mwanzoni nilivyoona nilidhani mtu kapata ajali! Wengi walikuwa vijana kati ya miaka 14- 25!Nilipoona idadi ni kubwa mno nikauliza inakuwaje? JiBU nililopata ni kuwa "wanaong'oa meno ya mbele ya juu wana kiss vizuri na kufurahia kissing zaidi"! MAAJABU!

kWELI.Na huo ukilema ni definition ya nani?au standard ya nani?
Unachosema WOS ni kweli niliishawahi kusikia na kukiona pia kwa kuwa ni rafiki yangu kutoka SA yeye nim-AFRIKAAN ana mtoto wa kike and she did exactly what i have highlighted hapo juu with red color
 
images

...Big up kwa wanawake warembo wa JF wenye mwanya (kama mpo, ni warembo mjitambue.) W'wake wenye mwanya Mnapendeza sana. Halafu, wote niliobahatika kukutana nao (wenye mwanya-mdomoni) ni warembo tosha.

Nini mtazamo wako?

Olalaa..mimi sina mwanya Mbu!..ila wanapendeza wenye mianya hiyo!!
 
Haya tusio na mwanya ndo tunatengwa hivyo.
Kesho kutwa miguu nayo itasemewa...na mikono...na kiuno.Tusio navyo vyote tulie tu!:disapointed:
 
Back
Top Bottom