Mwanifurahisha aana

Kuna yapi yaliyokusibu? Funguka bro.
Siyo rahisi kunikuta ila nikwamba mimi nilikuwa na waonya wadogo zangu!Mimi na umri huu natafuta nini??Meno yenyewe sina nani atapenda smile yangu! akha!
 
Jamani Preta wangu ndo maana jana nimekuota Hupo??Clabash baadae ila PM kwanza maelekezo yote utayakuta huko!Nakiwanja kipya!

jamani Kakakiiza wangu....yani umepata kiwanja kipya hujaniambia.....ndio maana huwa sikuoni tena pale Calabash.....poa basi ngoja nisubiri unieleze.....
 
KK safari hii umebadilisha saana Avatar... ile ya mwisho ulotoa ilikua ya ukweli...
 
Hapa kuna jambo si bure.....

Offtopic: Umepotea sana KK
Maisha ya mebana na ngereja huyu lazima nipotee na magamba wanakulazimisha upotee ila nipo nakatamkaa na kamatwa na Mali ya siri kama si asili!Basi life ni left and right.

Aisifuye mvua....
Sasa wewe utapita kwenye shamba la mbigiri bila kuchomwa??

jamani Kakakiiza wangu....yani umepata kiwanja kipya hujaniambia.....ndio maana huwa sikuoni tena pale Calabash.....poa basi ngoja nisubiri unieleze.....
Nimekwambia kiwanja kipo katika PM!

KK safari hii umebadilisha saana Avatar... ile ya mwisho ulotoa ilikua ya ukweli...
Na hii niliyoweka ndiyo yangu mwenyewe alisi umri unanitupa mkono!
 
Hivi inakuingia akilini??kuwa hapa JF utapata kimwana waliopata ni wale wenye bahati zao hapa yeyote mwenye account hapa siwakushobokea atakutoa kamasi!
<br />
<br />
Mi naomba wanitoe tu hizo kamasi manake nilivyo na mafua leo we acha tu, ngoja nisake mwenye avater nzuri
 
Ni bahati ya mtu tu! Mbona wapo wengi tu waliotolewa kamasi kwa njia ya kawaida!
 
Back
Top Bottom