Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

Mimi rangi imekataa. ila nipe miezi miwili nionane na wachina ntakuwa maji ya kunde kwani nimekupenda zaidi ya PESA
 
Mimi Ni Mdada, Mtanashati, Makini, Mwenye Tabia Njema, Mwenye Msimamo na Mtazamo Chanya wa Maisha! Ukiwa na Sifa Hizi zifuatazo ni PM. Seriously Candidates Only!

1; Single
2; Rangi- Maji ya Kunde au Mweupe
3; Normal size asiwe mrefu Sana wala Mfupi Sana
4; umbo la kiume sio bonge wala kitambi
5; umri kuanzia 25 - 35
6; awe na Msimamo
7; awe Anajua kujali
8; awe na kazi.

Karibuni! NB Staki Sharobaro!!!

hivi mmetuona sisi ni vilaza kutupima akili zetu
 
Mimi Ni Mdada, Mtanashati, Makini, Mwenye Tabia Njema, Mwenye Msimamo na Mtazamo Chanya wa Maisha! Ukiwa na Sifa Hizi zifuatazo ni PM. Seriously Candidates Only!

1; Single
2; Rangi- Maji ya Kunde au Mweupe
3; Normal size asiwe mrefu Sana wala Mfupi Sana
4; umbo la kiume sio bonge wala kitambi
5; umri kuanzia 25 - 35
6; awe na Msimamo
7; awe Anajua kujali
8; awe na kazi.

Karibuni! NB Staki Sharobaro!!!

ngoja aku PM kaka yako au baba ako,hii sio fb
 
Mimi Ni Mdada, Mtanashati, Makini, Mwenye Tabia Njema, Mwenye Msimamo na Mtazamo Chanya wa Maisha! Ukiwa na Sifa Hizi zifuatazo ni PM. Seriously Candidates Only!

1; Single
2; Rangi- Maji ya Kunde au Mweupe
3; Normal size asiwe mrefu Sana wala Mfupi Sana
4; umbo la kiume sio bonge wala kitambi
5; umri kuanzia 25 - 35
6; awe na Msimamo
7; awe Anajua kujali
8; awe na kazi.

Karibuni! NB Staki Sharobaro!!!

Weka Pic nikuone
 
sifa zote nnazo kasoro ya 8,,,
 
Kwa hiyo sifa hizo ndio umeona zitafanya ndoa idumu? Umepotea dada angu kumbuka cku zote LOVE DOESN'T ASK WHY,hivyo wewe huna tofauti na matapeli wa kike, ndoa sio sifa hizo ulizozitaja,na ukiangalia hayo utaishia kuosha rungu tu hakuna mwanaume mwenye busara atakae kutaka. Mchumba hatafutwi anakuja mwenyewe,mume bora hutoka kwa Mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom