Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

Nadhani dada huyu ana kasoro ambazo hajaziweka hadharani zinazomzuia kupata right husband (I am sorry to say so). Ninavyojua serious Men & Women in relationship are so scarce to be found KWA HIYO huyu dada angekuwa MWAMINIFU angekuwa lulu (angepiganiwa na wanaume) na asingehitaji kujitangaza katika JF ili kupata MUME!

Mkuu slowly.. huoni Wanaume tubavyopimana ubavu?
 
whoa whoa! Woow' sifa zote ninazo..
Ila kaz yng me nachunga mbuzi, ninao weng kdogo
 
Mimi Ni Mdada, Mtanashati, Makini, Mwenye Tabia Njema, Mwenye Msimamo na Mtazamo Chanya wa Maisha! Ukiwa na Sifa Hizi zifuatazo ni PM. Seriously Candidates Only!

1; Single
2; Rangi- Maji ya Kunde au Mweupe
3; Normal size asiwe mrefu Sana wala Mfupi Sana
4; umbo la kiume sio bonge wala kitambi
5; umri kuanzia 25 - 35
6; awe na Msimamo
7; awe Anajua kujali
8; awe na kazi.

Karibuni! NB Staki Sharobaro!!!

Wewe unadhani sifa zako binafsi zinastahili wewe kuwa mke wa huyo mwenye sifa uzitakazo?
 
Naweza kua na some of those qualities, but tatizo hua namchokaga demu mapema,tuseme tukianza leo basi kufika Jan '13 ni bahati.

Kama utaweza kunibadili mind nisikuchoke poa!!
 
Kweli wewe uko Sawa? Kuna vigezo na masharti ya Kuwa ukijiunga jf inakupasa ukae mda Fulani ili utafute mchumba? Kama huna vigezo hapo juu tulia.! Kuna wenye bahati zao!

ingawaje sina vigezo tajwa hapo juu, naamini na mimi ninaweza kuwa miongoni mwa wenye bahati zao.
 
Wanakimbia 'Facebook' kule wanaume wote wakopaji tu....wanaambiana ukitaka 'mabuzi' yapo JF! maGreat Thinker kaeni mkao wa kuchunwa...[/QUOTE]

hii sasa kali, Kaka RIWA unamaanisha tunaweza kuwa vitega uchumi siyo? Ngastuka!
 
mleta mada heb toa mrejesho bana, au bd unapokea barua za maombi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom